Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,735
- 7,010
Heshima mbele wakuu,
mimi ni mwl miaka 8 kazin,nna shahada ya elimu baada ya kujiendeleza toka certificate grade A,nna jamaangu kaahidi kunisaidia kupata nafasi ya kazi benki,
nnaomba msada wa mawazo je niende huko kwa kutegemea kupata unafuu wa maisha na future nzuri ya kazi au ni yaleyale kwa kuzingatia kuwa kule mi sio taaluma yangu hivyo ntafanyishwa kazi za kawaida siku zote,
msaada tafadhali,