Recent content by Longito

  1. Longito

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Mkuu hii mada ni nzuri sana! Na itasaidia wengi sana kujitambua. Kwa wake tunaofikiria nje ya box tunaomba utupe madini tunasubiri kwa hamu kubwa!
  2. Longito

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ungesubiri Kwanza darasa lianze ndo uanzishe hoja zako hizi! Usiwe na haraka na jitahidi saa nyingine ufirikirie nje ya box.
  3. Longito

    JamiiForums Tanzania Tariffs za TANESCO zipoje?

    Uzi upo vizuri Sana! Mimi nauliza nikitaka kujua kwa wastani kwa mwezi ninatumia unit ngapi ninafanyeje? Ili niweze kujiridhisha na tariff niliyonayo kwa Sasa.
  4. Longito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bodaboda ni watoto wangu nitakwenda nao 2025

    Inategemea na tafsiri yako ya kazi - kwa ujumla shughuli yoyote halali inayomwingizia mtu kipato ni kazi! Umaskini siyo laana ni mtihani wake Mwenyenzi Mungu. Lazima ikumbukwe kwamba matajiri ni maskini watarajiwa. Unayesema wewe ni maskini inategemea unamlinganisha nani! Mtu huyo huyo unayesema...
  5. Longito

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Pole sana ndugu yangu kwa msiba huu mzito uliokupata! Kusahau siyo rahisi sana itachukua muda mrefu. La msingi ni kupambana na zile hisia ( maumivu, huzuni n.k) unazosikia wakati unapomkumbuka hizi ndizo zinazosababisha matatizo. Kulingana na imani yako lazima ujue mambo yafuatayo; Mwenyenzi...
  6. Longito

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Mtani umeongea mambo mazito sana! Naomba namba yako ninahitaji ushauri wako. Shukran!
  7. Longito

    JamiiForums Tanzania Ni lazima au hiyari kutoa zaka (fedha)?

    Inategemea anayetakiwa kutoa ni dini gani, kama ni muislam ni lazima kwa sababu ni mojawapo ktk nguzo za dini na kuna taratibu zake.
  8. Longito

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Kadhia na madhila tumeyatengeneza wenyewe! Maadili, malezi na kuiga kila kitu vimefanya wanawake kutokutekeleza wajibu wao kama walezi wa familia. Kumbuka babu zetu walioa wanawake wengi wanakaa pamoja kwenye nyumba za nyasi na walikuwa wanaishi kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu!
  9. Longito

    JamiiForums Tanzania Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Pole sana ndugu yangu! Haya mambo yapo na yanatesa watu wengi. Mimi ninavyoelewa suala na maombi ni lazima wewe mwenyewe uwe na imani ya kutosha, ndo unaweza kufanikiwa Mchungaji anachofanya ni kukuboost wewe ili uweze kupata nguvu za kutosha kujitibu mwenyewe. Kwa mantiki hiyo fuata plan B ya...
  10. Longito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

    Viwanda vya NDANI viongeze ufanisi ili kupunguza gharama waweze kucompete! Kulinda viwanda vya NDANI kwa gharama ya kuwauwa Walala hoi haikubaliki na siyo haki!
  11. Longito

    JamiiForums Tanzania Roho za mauti: Ni kitu gani hiki?

    Chanzo cha tatizo ambalo Ni la muda mrefu sana unaweza ukawa unajua. Ugumu unakuja jinsi ya kulishughulikia! Naomba ushauri/msaada wako inbox.
  12. Longito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Kwa dini ya Kislaam, Yesu au Issa ni miongoni mwa Mitume wa Mwenyenzi Mungu. Kuamini na kuheshimu Mitume ni mojawapo wa nguzo za Imaan kwenye Uislaam!
  13. Longito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

    Pole sana ndugu yangu! Ndoa yako ina muda gani au umeishi na huyo mwanamke kwa muda gani? Hii ni taarifa muhimu ili tuweze kukushauri vizuri.
  14. Longito

    JamiiForums Tanzania NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Hii Ni kweli kabisa karibu Kila mwezi Kuna Dawa zinatolewa kwenye bima. Inasikitisha kuona wanachama Wanavyoongezeka Huduma zinadorora. Wahusika watoe maelezo humu humu. Uwazi unatakiwa kwenye suala hili!
  15. Longito

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika. Banana hadi Gongo la Mboto

    Naomba contact zako tafadhali
Back
Top Bottom