mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Kuna mtu namfahamu na mwisho wa mwezi huu anapokea 5M kama mshahara. Sasa laki tano hapo ni ya Mungu siyo yake.
Sasa je, mtu huyu ana hiyari ya kutoa hiyo laki tano? Je, asipotoa zaka, badala yake akatoa sadaka 2000 atakuwa anatenda dhambi?
Sasa je, mtu huyu ana hiyari ya kutoa hiyo laki tano? Je, asipotoa zaka, badala yake akatoa sadaka 2000 atakuwa anatenda dhambi?