Recent content by long live my love

  1. long live my love

    Hivi kusudi la maisha ni nini?

    😁😁😁 Wakati Israel inajilinda na maadui kwa teknolojia ya Iron dome kwenye anga lao sisi wafia dini wa kibongo tunasema tunalindwa na Mungu wa Israel.
  2. long live my love

    Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

    Nchi hii kuna nyakati zinakuja tutaongea lugha moja. Ngoja wamalize hela waliuza hazina ya dhahabu.
  3. long live my love

    PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

    Kumbe mojawapo ndio huyu😃😃😃 Nasikia wanalipwa kwa kuichafua Chadema. Hongera, kazi ni kazi.
  4. long live my love

    Uislam ndio dini bora

    Nikishaona mawazo haya najua hawa ni watu wa kurudishana nyuma kiuchumi. Badala ya kutafuta hela, dini yangu hivi,dini yangu vile.
  5. long live my love

    GE2025 Rasmi, Mahakama yafuta amri ya Msajili wa vyama ya kuzuia ruzuku kwa CHADEMA na kutotambua viongozi

    Huyo jaji aliyetoa hiyo hukumu namwonea huruma. Labda kama alipata maelekezo toka juu 😂😂😂😂😂🤷
  6. long live my love

    Combination iliyopo kwenye hii picha ni hatari sana

    Mwamposa Tiss kitambo sana.
  7. long live my love

    KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Ni heri mamako angeabort tu. Ameteseka tu
  8. long live my love

    Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

    Kule maafande wanawagalagaza kama wanavyotaka. Hakuna demu wa kukaza kule,lazima aachie kitumbua la sivyo
  9. long live my love

    DOKEZO Viongozi mko wapi? Watoto wetu wanapigwa kama ng'ombe shule ya Sekondari Ibungiro

    Ukiona mwanao hutaki achapwe mpeleke International schools,kule hakuna kuchelewa namba,kutokumwagilia maua,kufagia n.k. Ila huku kwetu atachapwa tu,watoto wenyewe wamepinda tangu tumboni mwa mama.
  10. long live my love

    PreGE2025 Ahadi Hewa za CCM: Barabara Nyingi zina hali mbaya, zimechakaa!

    Mawaziri waliambiwa waibe kwa kujikadiria ilimradi wasivimbiwe 😂😂😂😂. Hizi nyimbo tutaimba wote. MITANO TENA 😄😄😄😄😄
  11. long live my love

    Amani tunayoichezea hakika tutaikumbuka

    Hakuna amani Tz. Mtu anashushwa kwenye basi kwenda kuuawa halafu wewe unasema kuna amani?
  12. long live my love

    Tundu Lissu akianza mgomo wa kula Chakula atakuwa anajikomoa na kujitesa mwenyewe. Akamuulize Kiiza Besige wa Uganda kilichomkuta

    Hili jamaa bwabwa sana. Sijaona cha maana alichoandika. Analinganisha nchi ya kidikteta kama Uganda na nchi huru kama Tz. Almost ameacha kufikiri.
Back
Top Bottom