long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Hakuna amani Tz. Mtu anashushwa kwenye basi kwenda kuuawa halafu wewe unasema kuna amani?
Ndugu wa waliotekwa na kupotea wao wanao huo utulivu unaousema?Huu utulivu tusiopeteze ndugu.Changamoto zitatuliwe kwa njia nzuri na si kudhalilishana na kupakana matope
Au kama anamaanisha majani ya chai ya Amani, au Amani place jirani na serena hotelTanganyika HAKUNA KITU KINACHOITWA AMANI.
Labda kama unamaanisha Amani KARUME.
Mdude yuko wapi?Huu utulivu tusiopeteze ndugu.Changamoto zitatuliwe kwa njia nzuri na si kudhalilishana na kupakana matope
Na wanapomshikiria ndiyo wajue wanawasha moto, Amani gari kwenye nchi iliyo kwenye dimbwi la ufisadi na kudhurumu haki za raia.Mi nadhani wangemwachia huyo Lisu ili tuendelee na amani japo hata kama tunaishi kinafiki.
Hizi vurugu zinazoendelea hazina mashiko kwa nchi masikini kama hii
Unatakiwa uelewe kwamba wananchi wamechoka na wenye makosa wanajulikana ila wameshupaza shingo na kibaya zaid wao ndo wapo mbele kuhubiri amani lakini pia hawapo tayari kuidumisha hiyo amaniWasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Wewe ulizaliwa kufanya siasa? Kwa taarifa yako maamuzi ya kisiasa huwa Yana pande mbili chanya na hasiWasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Ushahidi wa moja kwamoja hakuna ila kwa matendo ya askari wetu viashirio ni kuwa wanahusika kwa namna fulani.Hao wanaodaiwa wanateka watu wanadai hakuna ushahidi? Wanaotekwa wanadai ni serikali? Hapo mi sijui nini kifanyike mana hali sio nzuri wadau
Wataje wanaochezea ili tuwakumbushe.Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
wewe umewahi kufanyiwa hivyo?Hakuna amani Tz. Mtu anashushwa kwenye basi kwenda kuuawa halafu wewe unasema kuna amani?
You are very right. Swala la kuhoji mambo lilishafanywa dhambi toka ngazi ya familia. Ukihoji mambo wazazi wanakuona ni mtoto usiye na adabu au mtukutu kumbe kuhoji ni haki ya msingi ya mtu yeyote mwenye akili timamu.Wewe ulizaliwa kufanya siasa? Kwa taarifa yako maamuzi ya kisiasa huwa Yana pande mbili chanya na hasi mfumo maamuzi ya kisiasa yanaweza kisababishi biashara kukua ama kufa
Kwa Tanzania mmeenda mbali zaidi mnatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a k.a kujizima data kama wewe kwasasa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Huu mfumo wa unyumbu ikifika kipindi cha uchaguzi husasishwa, (updated), kwa kurubuni wanasiasa walioko kwenye chama dola na vyama vya upinzani kurubuniwa kwa hali na mali hatimaye hukengeuka kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kujizima data ili walitumikie kundi fulani, (self absorbed group) kwa masilahi binafsi
Tanzania tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha iwe mashuleni, kanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa na kwingineko
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
Silence surrenders public responsibilities
Kwa akili yako, unaona anaeharibu amani ya nchi ni wananchi wenyewe au watawala wa nchi?Huu utulivu tusiopeteze ndugu.Changamoto zitatuliwe kwa njia nzuri na si kudhalilishana na kupakana matope
Labda zamu yake badoJiulize ww mbona hujatekwa?