Recent content by Lomunyaki Leteiva

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kwenda kusoma, mke wangu kanuna hataki kuniongelesha

    Wapendwa Kristu! Tumaini letu. Naombeni ushauri juu ya hili maana nimeona wengi wakileta shida zao na hupewa ushauri mtu. Hata nami nitapewa ushauri wa dhati kabisa. Mimi ni kijana ambaye nina mke tumeoana tangu 2008. Lakini tulipitia jaribu kubwa la kutokuwa na mtoto kwenye ndoa takribani...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, hana muda wa kuwasiliana na mimi

    Pole sana mwenzio nina mke ambaye tunamika 7 lakini hata ukisafiri miezi hana muda wa kukuesemesi wala kupiga simu. Kwahiyo wapo watu wa aina hiyo. Huo ni msalaba ila kwa kuwa wewe hujafunga naye pingu. Ni bora ukaachane naye mapema.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

    Jamani nani awatetee hawa. Ila tatizo walimu wengi wamegushi vyeti. Hivyo huogopa mgomo ili kulinda ajira. Kilio cha walimu ni cha samaki.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Subiri kijana moto ndo kwanza unavuka moshi. In mapema kusema huyu anafaa na huyu hafai
  5. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yasitisha matangazo ya vyombo vya habari binafsi

    Uroho wa madaraka unaitesa Africa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hawa matapeli

    Mungu akubariki kwa kututoa matongotongo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa: Umefika wakati wa kuing'oa CCM kwa kutumia katiba hii hii mbovu

    kila lakheri Mungu akutangalie.
  8. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaahidi Kulifumua Jeshi la Polisi na Kuliunda Upya

    Tupo pamoja
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni Kwaresma Njema

    Asante sana kwa salamu nzuri na tamu katika mwezi huu wa Rehema. Nami nasema Asante Yesu kunipa tena nafasi ya kutengeneza maisha yangu kwa upya
  10. L

    JamiiForums Tanzania Benki yazindua huduma ya kuweka pesa kupitia ATM, Pigo jingine kwa ajira Tanzania

    Siku za mwisho maarifa yataongezeka
  11. L

    JamiiForums Tanzania Waliomchinja Katibu wa CCM Kahama wakamatwa, Yumo pia diwani wa CCM

    Kweli dunia haina huruma
  12. L

    JamiiForums Tanzania Umeme wa solar kwa kasi ya ajabu

    mwanza mnapatikana wapi? Na vipi gharama zake? Pia ulipaji wake ukoje?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sam Mahela, Mtangazaji wa ITV

    Hongera yake
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ohoo! Mtumishi wa Mungu anaswa na mke wa mtu !

    Napita tu
Back
Top Bottom