Recent content by LOMNYAKI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kingsley Ugiagble,muuaji hatari anayelindwa na ikulu ya Tanzania

    Wee mtoa mada,mbona mada yako haina mashiko? Huna ushahidi ktk hili maana hata kapicha ka huyo bwana hakuna wala ya ofisi yake.. wee mtu akikuchukulia tu mkeo basi unakurupuka kuja kumsemea mbovu humu..?! Sasa mjinga nani hapa?yeye ama wewe.? Ndoto za Abunuas bana...!! Nenda kawape bongomovie...
  2. L

    JamiiForums Tanzania ITV ndo television ya taifa

    Yani ITV bana ni kibokoo...na kwa sasa inapendwa na wajinga wengi kweli hasa wa UKAWA na wanaotoka mikoa ya Arusha na Moshi eti kisa ni ya mwana Ukawa mwenzao...Shutuuu...,ukabila,udini na ukanda utawamaliza nyie makawa-d
  3. L

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Shoga Chunya Tanzania

    Kule mkoani Arusha, kuna ukoo wa "mboro", halafu kule Kagera kuna mto "Ngono" pia na kata ya "Katerero" je na majuna haya wewe unayatafsiri vipi? ...Hapo bado hatujaingia ktk nchi za watu km Japan,wee...utakaa chini kwa mshangao ama kicheko
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Malawi uwe fundisho kwa watanzania, 2015

    Mtoa mada,nenda na bit zako mzee...usiimbe tu bila mpangilio.. Cheki jina la mshindi halafu niambie,hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza wananchi wa Malawi.? Urais sio Ufalme man, cheza na bit zako...Come on. ...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Bora mwelekeo huu ambao hata mimi binafsi naona ndio suluhisho.Hakunaga Serikali tatu ambapo hiyo Serikali yenyewe haina hata kipande cha ardhi,itajijengaje? Tufumbue akili zetu maana macho yanaangalia lakini hayaoni. Hata wazee wetu waasisi wa Muungano,hawakuwahi hata siku moja kulumbana juu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Toa ww sababu za kwako,acha kupenda saaaana spoon feeding. Ww una sababu gani za kupenda serikali tatu?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

    Kwani hiyo gari aliyowauzia ilikuwa na utata?tujuze mdau maana bana nchi hii haina police,inawashirika wa ujambazi haki ya nani tena me nasema
  8. L

    JamiiForums Tanzania Download free JF application for Android

    Mie inakuja wall km hiyo but hizo smiles hazitokei ng'oo...nifanyeje hapa?coz natumia hii updated apps na nnatumia android phone pia
  9. L

    JamiiForums Tanzania Download free JF application for Android

    Avatar
  10. L

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Nimefanikiwa kwa hiyo ya green but blue na pinc ziligoma...Thanks anyway mkuu
  11. L

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    majaribio
  12. L

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Hakuna chochote mbona?
  13. L

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    kandambili
  14. L

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Hi Kungu1...what about the other East African Countries,can we also enjoy these like in Kenya? How...?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje ikikukuta hii?

    Ahahahahaa...uuuwiiii,watu wengine bana,limbukeni kweli.Me nilidhani ni ishu ya maana kumbe ni huu upuuzi? Daa..katiba iseme "Kama huna la maana kwa jamii,usililete humu JF"
Back
Top Bottom