Recent content by Lolipop

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaume kutelekeza watoto wao

    Hapa ukutu mama umejipindisha kumsomesha hadi akapata kazi, afu libaba inakuja ooh! Mwanangu waooo!! Bila hata aibu hajui mama alimfikishaje hadi akawa hinyo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

    Ni zombi huyo sio mtu wa kawaida bana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Vaa sura ya uanaume, aeleze unakosea wapi na ujirekebishe. M/mke ukimdekeza sana anapata kiburi mno. Pia pole
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

    Wapo bussy kuuza vichwa, miguu, firigisi na utumbo wa broila
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

    Aisee hapo andika maumivu. Mimi nilimkopesha mtu kama iyo ya kwako ukiongeza nusu, kaniambia atanilipa ndani ya siku nne, basi siku zikaendaaaaaaa, nilivokuwa naendelea kumdai kaniambia"ukitaka hela yako wasiliana na mama yangu, sitaki kuona sms yako wala call yako" nimekoma kumkopesha mtu hela...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari

    kiukweli source ya dada zetu kujiuza ni wanaume. Utafikiri hawana midomo wa kutongoza hadi amwonyeshe pochi. Basi ishakuwa biashara hamna jinsi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari

    Ila si ndio hawa hawa wanaume wanaowanunua hawa wanawake wanaojiuza? Kwani haiwezekani wanaume mkaandamana kupinga hatua za w/ke kutaka hela kwa kila tendo la ndoa? Laiti w/me mngekuwa na umoja kujiuza kwa w/ke kusingekuwa rahisi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari

    Kwa hiyo nyie wanaume mmetupa makavu au? Hamjui kama kuna wanaume wanaojiuza? Hahahaa nimechungulia tu bana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mishahara 2015

    Itabidi wananchi tuiendeshe nchi badala ya serikali kuiendesha bila manufaa yoyote kwa mwananchi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Aishi miaka 70 bila kunywa wala kula

    Uwongo mtupu huu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wa Kijijini usiende mjini kwa nduguyo bila sababu yenye faida, mnatesa watu

    Wakifika kijjn watasema uliwatesa. Binadamu hasa ndugu jamani wengine sio wema.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ana mtoto wangu lakini kampa mwanaume mwingine

    Wengine wanakimbia na kukana damu zao. Hongera kuwa baba bora
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hivi msichana akikeketwa hisia zinapotea au inakuwaje?

    Jamani truly m/mke akikeketwa hamu hapati hadi akiwa kwenye siku za kukonsiv ndo kidogo zinakuwapo hamu. La sivyo anaweza akakaa bila kukutana na m/me hata miezi, hii ndio inapelekea ndoa nyingi kuvunjika na michepuko juu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    Usithubutu kumuumiza mwenzako kama huna malengo naye.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Anataka nimuoe na mtoto wake

    Mleta mada unaonekana kutokumlea mtoto huyo. Basi mwambie mchumbako akubaliane na x wake la sivyo umwache tu usije ukaingia matatizoni badaye
Back
Top Bottom