Kwanza la kupaswa kujua ni kwamba, kuna watu wana mizunguko tofauti, 21, 28 na mizunguko mirefu more days than that. Natumain nikisema hvyo mnanipata, 2chukulie 28 ambayo ni ya wengi, kwa hapa wanakuambia kuwa cku ya 14 from siku ya kwanza kuona tone la kwanza ktk huo mwezi, kama mzunguko wako...