Picha za kutisha: Upasuaji wa mtanzania akiwa na madawa ya kulevya tumboni mwake...


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
86
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 86 145
Dec 17th 2013
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.


Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.
Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
86
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 86 145
Vijana wetu wanapotea nchi yetu ni tajiri ni wachache wanaofaidi ndani ya CULT ni wao na watoto wao - mtanzania MLALAHOI anaambiwa kuwa tatizo ni UKANDA ndio Maana hakuna AJIRA
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
uwiiii! inatisha sana!
 
Kalimati

Kalimati

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
150
Likes
23
Points
35
Kalimati

Kalimati

Senior Member
Joined Feb 21, 2013
150 23 35
Eeh Mungu wangu ulie juu sehemu takatifu. Tusaidie vijana wako tunaharibikiwa na kupoteza maisha uliyo tupangia. I SAY NO TO DRUGS:banghead:
 
ifweero

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
7,962
Likes
46
Points
145
Age
39
ifweero

ifweero

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
7,962 46 145
Hatari sana hii
 
M

mkubwawao

Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
39
Likes
0
Points
13
M

mkubwawao

Member
Joined Oct 16, 2012
39 0 13
inatisha jamani!!!!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mungu tuepushe na majanga yaha.
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,873
Likes
4,599
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,873 4,599 280
Acha wafe kwanini wakubali kubeba. Baada ya kutolewa tumboni yameenda wapi?
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,873
Likes
4,599
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,873 4,599 280
Vita against drugs imeshindikana duniani kote, sehemu nyingi wakishika unga huwa hawatoi maelezo ya kueleweka wanakoyapeleka.
 
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
403
Likes
2
Points
35
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined Jul 26, 2011
403 2 35
Kweli hii ni hatari sana katika Taifa letu. Kwa viongozi tuliosikia wanafanya biashara hii na wakiwemo wanaotaka kugombea urais 2015. Ni jukumu letu watanzania tuwapinge kwa nguvu zetu zote wagombea hawa na ikiwezekana tuwataje kwa majina yao ili wasiowajua wapate kuwajua.
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,379
Likes
702
Points
280
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,379 702 280
Ukisikia maana ya get rich or die trying ndio hii sasa
 
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
653
Likes
149
Points
60
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
653 149 60
Mimi siamini kama huwa wanameza kupitia mdomoni...maana hizo kete ni kubwa sana sasa wanakua na koromelo la namna gani...maana hata ubwabwa wenyewe ukiumeza vibaya unaweza kukuruza au panadol kupita pale ni shida.vipi hizi kete zinapitaje kooni?
anaejua zaidi atuweke sawa.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,564
Likes
69,120
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,564 69,120 280
Kweli hela ni shetani,imewaponza wengi kwenye hii dunia!
 
Rural Swagga

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
1,401
Likes
136
Points
160
Rural Swagga

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
1,401 136 160
sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari
Never on Earth... nngu007 labda uwe na utumbo wa Ngombe....binadamu wa kawaida akibeba uzito mkubwa ni kete 160 mpaka 165.
 
Last edited by a moderator:
L

Loli

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
178
Likes
22
Points
0
L

Loli

Senior Member
Joined Oct 17, 2012
178 22 0
Mi mwenyewe nastaajabu wanamezaje? Maana kwanza wanasema hazitaki maj, kwaiyo mtu anameza kavu kavu? Na kwngn nlisoma kuwa wanasukumizwa kwa ******u sasa si atachanika? Hapana, kuna njia wanatumia c bure! He!!
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Na iwe funzo kwa wengine mlio na mawazo ya kuwa Punda...
 
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
3,425
Likes
2,305
Points
280
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2013
3,425 2,305 280
Well its very bad and also deadly game to gamble ,but i doubt kete 5000? Nafikiri idadi hii inawezekana kuwekwa kwenye maiti tu.....:disapointed:
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
244
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 244 0
Mimi siamini kama huwa wanameza kupitia mdomoni...maana hizo kete ni kubwa sana sasa wanakua na koromelo la namna gani...maana hata ubwabwa wenyewe ukiumeza vibaya unaweza kukuruza au panadol kupita pale ni shida.vipi hizi kete zinapitaje kooni?
anaejua zaidi atuweke sawa.
TOMASO, WANAMEZA KUPITIA MDOMONI, na hii ni njia primitive sana ya kusafirisha unga, ni -------- tu anayeweza kukubaliwa kuwa punda kwa njia hii!!
 

Forum statistics

Threads 1,251,605
Members 481,811
Posts 29,777,746