Recent content by loikabu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    Huo ni mpango uliotengenezwa na uongozi wa ATCL. Haiingii akilini kwamba hela nyingi kiasi hicho zinawekwa kwenye kasiki ofisini badala ya hela kuwekwa benki.Ufisadi bado unaendelea kwa kasi. Serikali iangalie hili kwa jicho la pili.
  2. L

    JamiiForums Tanzania International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

    Hao idu ni Nani hata waiamrishe nchi yetu??Wapite kushoto na waachane kabisa na mambo yetu.Tanzania ni nchi huru na yenye mamlaka kamili kuamua mambo yake.Uchaguzi umeisha na serikali imeshaudwa na kilichobaki ni kuchapa kazi.Chadema chadema chadema all the time.What is chadema??Sisi hatuitaki...
  3. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuanzia 7/5/2020,maombi yangu ya kurekebishiwa ankara yangu ya LUKU kufuatana na matumizi yangu ya units chini ya 70 kwa mwezi eti yanashughulikiwa mpaka leo! Nimeshakumbushia tena kupitia page hii hii lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika. Tanesco Arusha,wake up.Tatizo ni nini?
  4. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wilaya -Arusha city Simu-0754272682 Mita #.-24213049935
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bado ninaishangaa Sana Tanesco Arusha. Wamekua wazito Sana kutuhudumia Sisi wateja ambao kiuhalisia ndiyo waajiri wao.Nimejaza fomu ya maombi ya kurekebishiwa tozo ya malipo ninayotozwa kupitia luku yangu kuanzia tarehe 7/5/2020,nikaambiwa watakuja kunitembelea Kwa ajili ya kufanya marekebisho...
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Kila siku nilipigwa risasi! Hiyo ndiyo Sera??.Hata ungepigwa risasi 2000,haiwezi kuwafanya waTZ wakupe kura za huruma.Bongo lala kabisa. Eti ndo nguli wa sheria huyo!Labda sheria pori.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu wananiita mchawi wakati walilelewa na baba yangu mzazi

    Hakika wewe ni zaidi ya mchawi.Kama umefikia mahali pa kuvunja ndoa ya wazazi wako ili upate mali wewe ni mbaya kuliko shetani.Isitoshe umri wako si wa kuwa tegemezi tena.Baba yako ana haki ya kukufukuza kwake.Mtakaaje wanaume wawili ndani ya nyumba moja.Pumbavu sana wewe!Endelea kusota maana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

    Unamtakia nini? Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo. Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Very right! Tatizo ni kwamba wengi wa wanaopinga maendeleo hayo aliyoyafanya/anayoyafanya rais ni wote wana ulemavu wa akili na upeo wa kutambua ni 0%. Akili zao wote ni kwa mlemavu mwenzao lisu asiyeitakia nchi yetu mema.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaosoma shule za English medium hamna kitu kichwani

    Sema huna hela ya kumpeleka mtoto wako kwenye hizo shule. Sisi tunaosomesha watoto wetu huko tunaona maendeleo mazuri sana ya watoto Katika masomo yote. Na kama mtoto wako anasoma huko basi no kilaza ++++++
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo la kuelewa hisabati ni Tanzania tu au kwingine duniani ni shida?

    Hilo ni tatizo lako wewe pamoja na wale woote wanaoogopa somo la hisabati. Hakuna somo jepesi kama hisabati kama ukilipenda jamani.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nani analipia gharama za urushwaji wa Matangazo ya Moja kwa Moja (LIVE) kwa Vyombo Binafsi vya Habari?

    Unalinganisha msiba wa rais mstaafu na vijimkutano vya vyama vya siasa tena vya upinzani??? Think twice!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

    [emoji106]
Back
Top Bottom