NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 613
- 830
Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Nimekuwa mdau wa hili somo tokea primary,olevel na advance nikasoma PCM ....na nimezunguka sehemu kubwa ya nchi na nimeongea na walimu na wanafunzi wadau wa hili somo.
Kiukweli matokeo ya hisabat kwa level zote ni mabaya Sana refers necta analysis books for different exams results ambapo ni below 20%
Nimedodosa nini sababu ila wamenipa majibu kuwa.
1.hisabati ni urithi means ni kipaji yaani sio ya kufundishwa kama English ndo maana unaweza kumkuta MTU ana one ya 15 ila maths ana F
Sasa turudi kwenye hoja hivi hili tatizo la maths ni Tanzania tu au hata Japan ,German, DRC, Malaysia, Brazil etc ni kama kwetu?