Recent content by Logi

  1. Logi

    Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    Mtawala akiona ana mamlaka ya uhai ya wanachi ndio shida inaanzia hapo Raisi kajikuta kiziwi yanayolalamikiwa na wananchi kachukua uuzaji personal ya kichama badala ya kutafuta suluhu kama jina lake linavojinadi na linavotamkwa Wanaomshauri kutoa speech ile wameharibu kila kitu speech ya...
  2. Logi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana brother
  3. Logi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Prps sio kwa kutegemea sana ukiweka nguvu huku utapoteza vitu vingi iweke iwe option kama umefanya oral intervuew muombe Mungu ipo siku utaitwa I believe one day nitaitwa maana nishafanya oral interview kama tatu cha muhimu subira
  4. Logi

    Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Kinacho nishangaza Mbona kipindi umoja wa maskofu KATOLIKI unatoa waraka wa kupinga kubinaifishwa kwa Bandari walitoa waraka bila kuwataja masheikh au Ansaar sunah au KKKT ,TAG , ipi ajenda baadhi ya madhehebu waraka unatoka unawataja kanisa la katoliki walitoa fact with their evidence...
  5. Logi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hujaelewa labda hayo ni majina ya nyogeza kaangalie tena
  6. Logi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Customer care utumishi kwa kweli wapewe maua yao wanajitahidi kusikiliza changamoto kama una uhakika umeonewa usissite kuwatafuta utasaidiwa Japo usipokua mvumilivu unaweza kukaa hadi nusu saa simu ipo hewani haipokelewi Lakini wanajitaidi kutatua tatizo wakipokea Sijui itakuaje kama...
  7. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Konikon ni namba 9 asili
  8. Logi

    Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

    Nilipanda bus fulani kutoka dar kwenda dodoma ilokua dharura nikaacha shabiby sababu ilikua ikichelewa kama nusu saa nilijutia safari nilitoka dar saa sita na nusu mchana dar mbona dodoma nimefika saa nne usiku hadi shabiby niliyoacha ukanipita Nikasema kweli kila kitu ni brand sitapata bus...
  9. Logi

    Interview ya TRA ni lini?

    Hakuna kitu kama hicho acha habari za kusadikika
  10. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Aziz Ki mwenyewe hana target nzuri huu msimu wasipofunga mawinga magoli tutalaumiana sana
  11. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Yanga usajili mdogo inatakiwa iingie sokoni haraka iwezekanavyo
  12. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Kabsa ndio maana nilisema hili jambo musonda hakai kama namba 9
  13. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Nilichokizungumza ni kwamba yanga anaweza kuishi bila mayele lakini pia haiwezi kumtegemea Musonda kama Namba 9 ili atufikishe tunapohitaji Maana sio kwamba yanga atacheza Ligi pekee bado anamashindano ya kufuzu kuingia makundi CAFCL huwezi kua na stricker kama Musonda wa kimataifa ambae pekee...
  14. Logi

    Yanga tunahitaji namba 9

    Anapapara tu labda akitulia anaweza onesha uwezo zaidi ya uwo alionao maana anakosa utulivu na kwa leo mikimbio isio na umuhimu kuanguka bila kua na mpira
Back
Top Bottom