Atakuwa huru Kwa sababu nimekuwa sina bond nae na simfatilii,,Yuko na marafiki toxic namuacha,,sijali anaenda wapi na anarudi saa ngapi,, Sijali yeye kupigiwa simu usiku,,hàpo ndio atakuwa huru na kwenda anavyotaka yeye,,,ila Mimi huwa nazima Moto panapofuka moshi...asipokubali kubadilika...