Recent content by lodirofaa

  1. lodirofaa

    Hivi wabongo hatua hi tutafika lini

    Kwa maproducer wa bongo sizani Kama sikumoja wataweza kufanya angalau kitu Kama hii
  2. lodirofaa

    Ni vipi naweza kupata kazi Japan?

    Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
  3. lodirofaa

    Msaada kuhusu majukumu ya fitter kwenye meli

    Ndyo lazma usome mandaratory corse ujue jinsi ya kujiokoa na vinginevyo ndyo uajiriwe
  4. lodirofaa

    Tanzania ni nchi rahisi kuiongoza

    Najua unanishangaa kusema hivi Kiukweli watanzania Ni watu wa ajabu hali inayopelekea kuwa Ni rahisi Sana kuwaongoza Miezi kadhaa nyuma watu walikuwa wanalalamika kuhusu vifurushi kuishi bila kutumika na kupangiwa muda wa matumizi CCM walichokifanya wakaongeza zaidi ya mlipokuwa...
  5. lodirofaa

    Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

    Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi...
  6. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Wangoni wabinafsi? Hakuwa mngoni huyo maan mngoni anaweza akaacha kumsaidia mngoni mwenzake akamsaidia mtu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  7. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Hawajali wakaamua kumleta mvua
  8. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Songea nzima hakuna shida ya maji hujitokeza malachache mwezi wa kumi kwakuw jua kali
  9. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Mitaa mingi namanditi,kichangani,Ruvuma, etc
  10. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Mitaa hiyo Bei hiyo hupati
  11. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Na hakuja Tena hata kwenye kampeni
  12. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Ndugu huku Malaya 10000+
  13. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu Kma unalipwa mshahara mfano 300000 Songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na...
  14. lodirofaa

    #COVID19 Je, ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unapima tena?

    Wakuu nilikuwa nahitaji ufafanuzi je ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unatakiwa upime tena?
Back
Top Bottom