Recent content by Locomotive

  1. Locomotive

    Jaji Warioba: Mkataba wa Bandari upitiwe upya

    Kwani na wewe ni nani nchi hii kutaka kumjua kiundani Warioba!?
  2. Locomotive

    Hii ndio elimu inayotolewa na International schools

    Sio shule zote, labda ni baadhi ya hizo international!
  3. Locomotive

    Unawezaje kutambua jinsia ya mtoto bila ultra sound?

    Hizo dalili unazozisema kama kukupenda, mtoto kuchezacheza sana tumboni hata mimi mke wangu alikuwa nazo hizo hizo na amejifungua mtoto wa kike, kwa hivyo kuna uwezekano mkubwa akawa mtoto wa kike.
  4. Locomotive

    Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Amekufa weeeeee hadi akaamua kujinyonga hahahahahaaaaa:D:D:D:D
  5. Locomotive

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    :D:D:D:D:D:D:D:D:DSiku hizi kila mwanamke anataka ashike MIC na aimbe chumbani!!
  6. Locomotive

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Hilo la nguo za kubana sikubaliani na wewe, kuna msichana gani wa mjini kwa sasa anavaa magauni ya kuning'inia?
  7. Locomotive

    Watendaji tofautisheni kati ya kumjibu Rais na kumjibu Mwenyekiti wa CCM!

    Lakini mbona alisema mbele ya hadhara amewasamehe, ilikuwaje tena akawatumbua? hapo ndipo kizungumkuti!!!
  8. Locomotive

    Ngazi za Mishahara: PGSS 9 & PGSS 10

    AGCS 13 (Sh 5,580,000) na hapo bado marupurupu
  9. Locomotive

    jamani swali hili nijibuni

    Materials for large format digital printing citylight paper, BBS paper, self-adhesive film, frontlit banners, mesh fabric, double-sided opaque banners, backlit banners, bunting, PVC, forex, polycarbonate, plastic, cardboard, tarps, carpets, cotton Canvas, textiles, etc.
  10. Locomotive

    Rais Magufuli avuma na kuigwa duniani katika mabadiliko ya umiliki wa madini

    Anachonifurahisha MAGU ana uchungu na maisha duni yetu wanyonge:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:Hongera sana Mkuu!!
Back
Top Bottom