Recent content by LOCAL SPONSOR

 1. L

  Anayejua jina la huu wimbo anijuze

  Jina la wimbo ni KOLZA BABA, Muimbaji ni General Defao akimshirikisha Suke Chile Joel Chezntemba
 2. L

  Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

  pole kwa tatizo linalokusumbua, kwa maelezo uliyotoa naomba nikushauri kama ifuatavyo: 1. Tatizo la High blood Pressure halitibiki ,kinachofanyika ni kutumia dawa ili kuzuia uharibifu wa viungo vingine kama figo,moyo,macho na ubongo ( Stroke), 2.NI VIZURI UKIFAHAMU KUWA UNAWEZA KUTUMIA DAWA...
 3. L

  Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

  Pole sana kwa yaliyotokea, Ushauri wangu kwako : 1. Kubaliana na kilichotokea, amekuwa muungwana kukueleza ukweli ili ufanye maamuzi, ukitulia mtafute uongee nae kwa ajili ya closure, inawezekana na ni vizuri kuachana kistaarabu 2. Tafuta kitu cha kukushughulisha, kama huna kazi unaweza hata...
 4. L

  Maisha yamenishinda, vita imenishinda

  Changamoto ni sehemu ya maisha, tatizo ni nini? Nipo tayari kukusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
 5. L

  Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

  Kwa sababu sijui dawa aliyokupa daktari, nakushauri uendelee kuzitumia ulizopewa kwa kama ulivyo elekezwa na ufuate masharti na kuzingatia kurudi tena kumuona daktari wako kwa ajili ya follow up Sent using Jamii Forums mobile app
 6. L

  Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

  Ni jambo jema kuwa hatimae umegundua tatizo linalokusumbua, umefanya vizuri kuleta mrejesho, naimani daktari amekueleza matibabu ya tatizo lako Sent using Jamii Forums mobile app
 7. L

  Nashindwa nifanye nini juu ya huyu mpenzi wangu?

  Zingatia huu ushauri, Umri wako bado mdogo sana,tafuta hela kwanza wanawake wapo wengi mno,don't be broke and heart broken, hutaweza kustahimili. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. L

  Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

  Inawezekana una tatizo la GERD ( Gastro Esophageal Reflux Disease) hili linafanana sana na vidonda vya tumbo japo matibabu yake ni tofauti kidogo, bado nashauri upate muda wa kumuona daktari bingwa Sent using Jamii Forums mobile app
 9. L

  Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

  Pole sana, kiuhalisia ni vigumu sana kutapika nyongo, kimaumbile nyongo (bile) inaingia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwenye utumbo mwembamba hivyo sio rahisi kutapika nyongo labda kama una tatizo la utumbo kuziba, nakushauri umuone daktari bingwa wa magonjwa ya ndani (Physician) nina...
 10. L

  Je ni wajibu au ni hiari kumhudumia mtoto wa nje ya ndoa?

  Mkuu kwa mujibu wa sheria ya mtoto Sehemu ya pili (a) inayozungumzia haki za mtoto,ukisoma kuanzia number 6 hadi 10 ipo wazi kuwa ni lazima na ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto,haijalishi amezaliwa kwenye ndoa au vinginevyo,nimeambatanisha Sheria husika kurahisisha rejea.
 11. L

  Msaada tafadhali kufanya back up ya contacts zangu toka kwenye simu kwenda google akaunti

  Nenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako Sent using Jamii Forums mobile app
 12. L

  Kutumbua watu wasio na vyeti makazini was not wise decision

  Sio kila kilicho kinyume cha sheria ni sahihi, kuna sababu ya kwa nini watu hupewa akili kabla ya elimu
 13. L

  Nani imewahi mkuta hivi?

  Una tatizo la kisaikolojia, unahitaji kuongea na mtaalam akusaidie kupona haya majeraha ya kihisia uliyonayo
 14. L

  CAS hakuna kesi ya Morison na Yanga

  Mkuu inawezekana bado faili lipo masijala, tuwape muda
 15. L

  Leo niwapongeze wanawake watu wazima wenzangu kwa hili

  Umeeleweka mtoa mada, anyway mitano tena!
Top Bottom