Hii ni nchi ya ajabu sana. Ukichunguza sana
unaweza kugundua wote hao unaowataja,wa
Kenya, Wahindi etc wanazo work permits
kutoka Wizarani. Nilipatwa na shock mwaka
mmoja tulipokuwa tunafuatilia vipi wageni
fulani wameajiriwa.Lo ni aibu tupu.
Mtaani kwetu ipo nguzo ya umeme inayo connect
njia tano nayo ni mbovu tokea chini mpaka juu
inaweza kun'goka au kukatika wakati wowote.
Tumeripoti Tanesco wala hawajali,hupita hapa
na lori lilojaa nguzo kama hizi wakiwapelelea
wenye majina.Jamani mvua hizi tutapona?
Eti imekatika kwa sababu za ukiufundi lkn imetengenea
tu baada ya mjumbe huyo kumaliza hotuba yake. Hivo
ndio Watanzania hatuna akili? Mimi nimejifunza mengi
kwa hayo niliyoyasikia; kumbe wasomi wetu hamna lolote
nio maana nchi ipo ilipofika! TBC,please wafanyie Wtz
haki zao za msingi wengine...
Wafanyabiashara wengine humu JF ni waajabu kweli; hivo
mnalipia kiasi gani kwenye mtandao kwa kutangazia products za
watu.Tungejikita kwenye kutengeneza ya kwetu.Lazima tubadili
mfumo wa elimu wajuu.Siasa tu.Maneno mengi tu.
Ninashangaa munamsifu Mdee eti jembe.
Aliyependekeza jina la huyu mama kupata
'tuzo' ninamashaka nae na hakuifanyia
haki nchi yenu.Mbunge huyu is the most
hopeless and unproductive MP Kinondoni
has ever had. Alishaona the quality of life
ya watu wa Kawe, Mikocheni B na Goba just
to mention a few...
Kazi ya Pastor jamanli inalipa zaidi kuliko zote hizo ulizoorodhesha
hususan ukifungua kanisa lako mwenyewe na umeengeza aya
kwenye bible kuhalalisha Ushoga.Jirani yangu mmoja hapa ni
kilielezole tosha.
Inashangaza sana kuona Watanganyika ndio wanaojidai kuijua
historia ya Zanzibar kuliko Wazanzibari wenyewe; lengo ni
kupotosha kwa makusudi ili kulinda muungano. Wasomi
wa kweli watuambie muungano gani duniani umeimarika
kwa kutumia uongo? Ukweli ni kwamba Watanganyika tokea
mwanzo wa siasa za...
Ninawafahamu wengi huko Uingereza lakini simuoni hata
mmoja kwenye picha; na si uingereza tu bali mote
anapotembelea hali ni hio hio;hii inamaanisha nini
au huwa wanaalikwa wanachama wake wa Tanganyika tu?
Mimi ningependa kuuliza hapa hivo nchi zote hizo
zilizo adopt hii sera ya uraria wa nchi mbili including
nchi za Afrika ya Mashariki kama vile Kenya na Uganda
walishawishiwa na raia wao wanaoishi nje.Wenzetu hawa
waliingiza sera hii moja kwa moja kwenye katiba zao.
Mimi ninahisi uchoyo wa...
ninavyojua mimi ni kwamba wako Watanzania bara wengi tu wenye
kumiliki ardhi huko visiwani pamoja na makanisa ambayo ni ya bara;
au vp? Kiongozi anaemiliki hecta 500 Morogoro, 300 Bagamoyo, 250
Mbeya na bado anatamaa ya hect 400 Zanzibar ili azihodhi tu haiewzekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.