mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,327
- 56,070
kweli njaa mbaya
shivji amestaafu kufundisha udsm ,amestaafu kuwa mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu ,yupo kijiweni,ndio chanzo cha kujipendekeza kwa wakubwa wa nchii hii,njaa mbaya ,tumbo kuongoza akili
jana ilikuwa siku nya mwisho ya kigoda cha mwalimu hapa udsm ,prof;shivji alitoa mada ya mchango wa mwanazuoni alisema sifa moja wapo ya mwanazuoni ni kutokuwa kigeugeu lakini yeye alipoulizwa swali kuhusiana na msimamo wake kuhusu idadi ya serikali alikosa jibu na akabaki kuzungukazunguka