Ni kweli maana kama ni kweli mbona jana walikuwa wanasema wahofia nani atakufa leo.
Pia hakuna mtu anayependa kufa japo hatujui saa wala dakika pamoja na wao wakiwa Kama wabunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bora agombee tu ili wazee kama hao na wengine wapishe damu changa, kazi yao ni kwa kwaa kwaaa hata pasipo sitahiri!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo hawa ma TO, kwa uelewa wangu mdogo asipopata usimamizi mzuri kwa maana ya kumuelekeza au kumuongoza nini afanye wapi na kwa wakati gani mara nyingi huwa wanapata shida sana kutoka maana wanakuwa wanajiamini kupita kiasi.
Kwahiyo hali kama hiyo inawafanya kupuuza au kuchukulia poa...
Huenda wewe ndiyo una strees, maana kaongea ukweli mtupu na anastahili kupewa ubunge au wewe umesikia alichokisema hakitokei hapa nchini kwetu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, na mimi pia nilitaka kuuliza hili maana kama unamkataba unalipwa kama kawaida.
Lakini kama ulikuwa unajitolea hapo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli una IQ ndogo,hujui kuwa huyo katumia democrasia yake vizuri ndani ya chama chake.
Lakini pia kaona kuna vijana wengi ambao wanaweza kwenda na kasi ya kiasa iliyopo nchini kwa sasa siyo kama chama tuwala wazee na vikongwe wanakomaa kukalia majimbo hadi vijana wanakosa teuzi za...
Nilifuatilia kidogo asubuhi kipindi prof. Lumba anaongea kabla ya umeme kuondoka hapa kijijini kwetu.
Msemaji mkuu wa mkutano huo prof.kitila alikuwa anamkaribisha Prof.mkende akisema atafasiri alichokisema prof. Lumba,na alitumia kiswahili huku akitolea mifano halisi kutoka kwenye speech ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.