Recent content by lloydsam

  1. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Computer (IT) soma hapa

    YOYOTE YALE
  2. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    mwaminifuhalisi, Mimi nina idea ya kutengeneza APP inatakayoweza kututoa kimaisha, kama una utaalamu wa haya mambo nicheck ila nahitaji team ya watu wengi including wanaoweza/kujifunza ku HACK 0620343417 WhatsApp
  3. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Computer (IT) soma hapa

    Kama wewe unahusika na mambo ya IT, unaweza kutengeneza App na Web na mautundu fulani fulani nitafute. Nina idea nataka tuifanyie kazi na kupiga hela. Nicheck WhatsApp: +255 620 34 34 17
  4. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Ligi ya mikoa ya mpira wa miguu iliwahi kuwepo hapa Tanzania?

    Namaanisha mfano wa timu hixo ni kama.. Tanga FC, Arusha FC, Mwanza Fc, Dar Es Salaam FC Wadau, naomba kujuzwa kama tuliwahi kuwa na Ligi ya mikoa ya mpira wa miguu, na kama ilikuwepo.. Ilikuwa katika mfumo gani, Timu zake zilikuwa ni zipi, FIFA ilikuwa inahusika??? Ilikuwq ligi ya timu ngapi...
  5. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe ligi ya timu za mikoa (football academy kwenye kila mkoa)

    Wacha bhana, ilikuwepo wakati gani na why waliifuta?
  6. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Safi sana [emoji4][emoji4][emoji4]
  7. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe ligi ya timu za mikoa (football academy kwenye kila mkoa)

    Binafsi nimekuwa na wazo hili kwa kipindi kirefu sana, na nina imani suala hili litasaidia kukuza fani ya michezo hapa nchi na hata kuongeza pato la Taifa. KWANZA KABISA • Serikali itoe tamko la kuanzishwa kwa Timu ya mkoa Mf. Kilimanjaro FC, Dar City, Moro FC, Mbeya City, Dodoma FC, Arusha FC...
  8. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    Unachotaka ni kujua hela imetoka kwenye budget gani au unachotaka ni kuona HOSPITAL IKIJENGWA???
  9. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    Nipe sababu za kutompenda
  10. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    SASA HAPA MAGUFULI ANAHUSIKA VIPI??? Yeye alishasema mlipwe, sasa kama kuna watu wanaendelea kuwazungusha lawama hapa zinamjiaje kwa mfano.. Anakujua kusema kwamba KASIKIA HUJALIPWA CHAKO AFU KAKAA KIMYA AU??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi mna...
  11. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Nitajieni miradi yote aliyofanya Rais Magufuli mpaka sasa

    Naahukuru kwa kulielewa hilo, inaonekana jamaa anaishi kwa kukremu.. "Sio kila kitu ukamuulize mama yako, Vingine muulize mkeo kitandani" [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16] bila shaka atakuwa ametuelewa vizuriii
  12. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    Mi bado sijakuelewa maana yako kwenye hii post, labda tuu nikuulize.. Unachotaka nchi yetu isiwekeze miradi kama hiyo coz kuna wajinga wajinga wanafeliii.. BY THE WAY, kwani hizo mwendokasi anaendesha Magufuli au kuna watu wamepewa kitengo ndo wanamuangusha???
  13. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    So unatoa ushauri gani, MWENDOKASI IFUNGWE kama unavyoamini Bongo Ni Bongo??? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. lloydsam

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    Kimewashinda nn, tunaomba maelezo yako tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom