Recent content by LiwaloNaliwe2025

  1. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Si vibaya tukishea kwa pamoja hii Elimu kiduchu kumhusu Adui yetu mkubwa Nyoka

    Nyoka ni adui yetu toka lini?
  2. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

    Mimi nimwewahi kuwa na samsung s10e ilikuwa na 16mp lkn ilikuwa inazizidi mbali sana tecno zenye 50mp Mp sio kigezo cha ubora mkuu
  3. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli kuwa Rais wa Tanzania haya yasingewezekana kutokea ndani ya kizazi chetu

    Kwamba vingine vyote vya Jiwe hawakuviona vinafaa kuigwa wameiga kuteka tu, Tufanye hivi jiwe aliteka na kuua lkn matumizi ya pesa ya kodi yetu yalionekana Vp hawa waliopo sasa nje na kuiga kuteka na kuua wamefanya nini cha maana?
  4. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    NI kweli kabisa, sema angekuwa raia wa Korea pia asinge pata vitu vya kuisema serikali yake Korea sio ya kufanya vinavyofanywa na serikali ya Tanzania mda huu huwezi kukopa pesa zote hizo na bado miradi haiendi Dar barabara zimefumuliwa kitambo sana mpaka leo hazijakamilika, ujenzi wa SGR...
  5. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kwenye nyumba ya brother Imma
  6. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya brother mmoja kutoka Mbeya (Ngoja nimpe jina, naomba tumuite brother Imma) Huyu Imma bwana kajenga...
  7. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

    Unavyohisi wewe, Kigwangala sio mfanyabiashara? Kwamba uhuni alioufanya maliasili hakufungua biashara yoyote? Basi Kigwa alichezea hela sana
  8. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  9. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lissu kwa muda wako wa kuishi uliobakia shirikiana na dola, sisi watanzania hatufai kupiganiwa kwa chochote

    Akishirikiana na dola mda wake wa kuishi duniani utaongezwa? Ama unavyodhani wewe Lissu ana njaa? Kumbuka maisha ni kupita tu hakuna ataebaki, sisi sote tutaondoka Kitu bora ni kuitumikia karama yako (talanta) maana hii hutoka kwa Mungu muumba mwenyewe na usipoitumia utadaiwa Mwache Lissu...
  10. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Zinaa inaua ndoto za vijana wengi kukosa kibali mbele za Mungu

    Nikikaaa vzr nitachangia ama nitaabzisha uzi mwingine na nitaunga uzi wako mkuu Kuna vingi sana kuhusu Uungu havijazungumziwa labda kwa sababu ya ubinafsi ama dhuruma tu za watu kutaka wengine wasivijue
  11. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Hii ni CCM tunayoijua kweli?

    Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...
  12. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Rekebisha kwanza hapo hakuna kitu kinaitwa awamu ya sita, hii ni awamu ya tano (mhula wa pili) Serikali hii iliingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi october 2020, ukienda kule CCM hata ilani ya huu mhula ni ile ilonadiwa na JPM akiwa ni mgombea, SSH akiwa mgombea mwenza Ikatokea...
  13. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

    Kwamba nyie mlitaka watu wasifanye kazi kisa kuna hali mbaya ya hewa, achana na hii ya hapa kwetu vp kule Sudan na DRC kwenye vita watu wamekaa tu wakisubiri vita viishe ndo waendelee na maisha sio? Kipi kipimo cha kuwa raia hawajari kinachoendelea? Endeleeni kumpa ushauri huo, inawezakana...
Back
Top Bottom