Aisee nilinunua gari Toyota Rush auto keyless bahati mbaya nilipewa kile kibox cha alarm kimoja badala ya kuwa viwili je ntapataje kingine cha pili maana ni muhimu sana. Msaada
du tunaibiwa sana nchi hii.ukweli huwezi kuwa na semitrailer mbili upate dola elfu ishirini faida kwa mwezi ni uongo na kuficha wizi ulifanyika sisi tuko kwenye hiyo biashara kwa muda mrefu sasa tunajua ugumu wa hiyo biashara.labda kama anasafirisha pembe za ndovu.mhh hana breakdown.Kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.