Tecno Cx Brand New (mpya) zinauzwa kwa bei nafuu.

Mimi simu iwe na specification hata zitoke mbinguni. Ikishakuwa ni Tecno brand sitaki kusikia. Subiri team tecno watakuja na biashara utafanya bila shaka.....
 
kuna boss wangu flan anafanya biashara sasa akata tufungue duka la spare za simu yeye akaenda dubai akukuta kifaa chochote kinchoitwa tecno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom