Recent content by Livingbuddy Richie

  1. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Wale waliomba awareness creation officer

    jamani wa mwaka jana watupe feedback. nimeipata iyo email leo. sasa naombeni kujua yaliyojiri.
  2. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Folders shortcut virus

    nlikua na tatizo ilo. kuna program inaitwa shortcat remover dowlod, una copy na ku paste sehmu iliy na shotcat
  3. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumtafuta mtu kwa kutumia namba yake ya simu

    Naweza kumpata mtu pasipo kumpigia na kujua alipo kama vile unavyotafuta sehemu kwa kutumia google search? Pls any one.
  4. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Nakumbuka na mihogo ya pale kwa bi mchawi
  5. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Nakumbuka matrench yalivyokua yanapakwa oil chafu lakn baada ya wiki unakuta pametakata.
  6. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Wakati Ulinzi Mkali Ukiwekwa Mlimani City, Mseven Aagiza Mitambo Ya CCTV Ifungwe Mitaani.

    kumbuka walishatoa onyo kwa tanzania pindi walipopeleka majeshi yao congo,
  7. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Usahili IFM..

    Kila kitu kipo kwny website ya chuo
  8. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania IFM sio Chuo???

    kijana, pale cyo pa kupafanyia utani, kitabu cha pale ni kigumu mbaya. kuaga mshindano ni jambo la semista 1. jaribu kuulizia kwanza
  9. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Daah Ajira ngumu aisee!

    duuh, pole sana ndugu yng ila cjui kwa nn umeteseka ivo. kwani una GPA ya ngapi? 7bu hiyo c2ation yako ina2tisha 2liopo chuo huku
  10. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma masters vyuo vya Tanzania

    kwa IFM ya bei rahic ni milion 8.6 masters of finance zilizobaki milioni 12 kwa 13
  11. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Matangazo na Huduma za "Waganga wa Kienyeji": Serikali imelala usingizi?

    Mmmh, ni nouma.....
  12. Livingbuddy Richie

    JamiiForums Tanzania Hello,

    Utaratibu uko vp?
Back
Top Bottom