Alishakanusha madai ya Lisu ya maridhiano feki mkuu, so ukweli ukisemwa ni fujo? Labda useme alikosea kusema mapungufu ya mwenyekiti hadharani wakati kuna kamati za chama .
Sadaka zinatolewa ili padri ale vizuri, ashibe na akemee uovu popote pale unapotendeka,unapofikiriwa na unapopangwa kwa maslahi mapana ya roho za binadamu zenye utambuzi wa MUNGU ndani yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.