Recent content by Livanga

  1. Livanga

    Shule za Sekondari zenye magari kwa wanafunzi wa day kuwachukua asubuhi na kuwarudisha jioni

    Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha jioni ni Shule za msingi. Je kuna shule za Sekondari zenye utaratibu huo? Natamani kupata list kwa...
  2. Livanga

    CHADEMA yatangaza Septemba 7 kuwa siku ya Mashujaa nchini

    Hilo ni jambo jema katika kuweka historia kwa watu waliodhurika kwa kupigania haki za watanzania katika kipindi ambacho hatukutegemea mtu angepata madhara kwa sababu kama hiyo. Pia itaamsha hari ya vijana wa tanzania kusimama na kidai haki.
  3. Livanga

    Pombe: Sumu inayoua zaidi kuliko vita na gonjwa lolote, lakini tunaiita burudani

    Najiuliza kama kweli nitaweza sumu na inaua kwa kiasi hicho mbona kuna watu wamekunywa maisha yao yote na kuishi kwa muda mrefu eengine miaka 100+ na bado wanakinywa? Unless you tell us pombe za sasa nyingi watu huchakachua kwa lengo la kumaximize profit na hapo ndio tatizo la sumu huingia.
  4. Livanga

    Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Lakini haiwqzuii wqo kujiongeza tatizo ndio lipo hapo na changamoto wanaziona as more advanced vehicles are coming year by year ambazo zinawawiq vigumu kutwtuq na hivyo kuwanyima kazi au kufanya kwa kubahatisha na hivyo kuwatia watu hasara kwa kuharibu bila kujua au kununu vifaa ambavyo wala sio...
  5. Livanga

    Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  6. Livanga

    Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  7. Livanga

    Ni kipi chakula bora cha mbwa?

    Katika pitapita yangu na kutafuta majibu kama wewe nilikutana na hii link naona majibu yanapatikana kwa huyu jamaa kangámua vizuri sana. MLO KAMILI WA MBWA UNATAKIWA KUWA NA VITU GANI? ★ Utangulizi Lishe/chakula/mlo kamili kwa mbwa ni muhimu sana kwani humpa mbwa afya nzuri na pia huwakinga...
  8. Livanga

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    Ni muda sasa tangu tumepima uwezo wa internet provider wa nchi yetu na kaw hali ilivyo wameongezeka wengi tu tangu 2017. sio mbaya tukiongeza kwenye list alafu tukapima tena. kwa kuangalia zaidi mikoani
  9. Livanga

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Napenda kupingana nawe kwa hoja zifuatazo. Baada ya tangazo kwa mba Ubungo patakuwa na tabu kupita watu wengi walibadilisha route Mfano watu wanaotoka Kimara, mbezi, kibaha na kuendelea wanapita Goba na Msewe, wanaotoka tabata na kwingine upande huo wanapita Mabibo kuelekea magomeni na wengine...
  10. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Finally back to dar. My consumption ilikuwa ndigo zaidi ya kwenda as per picture hapo nilifika dar na kufanya mizunguko kadhaa ndio ikawaka taa
  11. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Mkuu nimekuelewa vyema na nakibaliana na wewe kwa confortable na kitulia barabarani na kuongezea unaweza kuwa speed kubwa ila ilivyotulia usijue kama uko speed kubwa. ila napingana na wewe kwenye namba 2 mimi. nimesafiri nayo mara nyingi kiasi kwa route ya arusha, mwanza na Dar. Na ninakiri...
  12. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Kweli mkuu ila nina imani umeelewakuwa gari niliyokuwa nailenga ni gx110 na vinginevyo. Hizo daya nilipaste from site na ukiingia kwa hiyo site hata leo ukaseqrch gx inakuletea marlezo ya jzx
  13. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Mkuu mpaka upate 70 ina maana gari iwe empty kabisa maana mimi miaka yote nilijaza ni 60 that is to say sipendi gari iishe kabisa mafuta and thank you for highlighting that part.
  14. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Nlijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph. Nilijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed...
Back
Top Bottom