Katika taaluma ya braking system ya railway,
ipo hivi katika mifumo ya breki za treni ina utofauti mkubwa kiasi na magari makubwa japo kuna baadhi ya valve zake zinaweza kuwa na majina na utendaji unaofanana utofauti ni kwamba katika service brake application ( yani breki ya kawaida tu...
2. Mfano nchi kama Marekani na Canada mtu anayeendesha treni wanamuita Locomotive Engineer, India wao locomotive pilot, kwa nchi za Australia na common wealth wanaita locomotive driver hata hapa kwetu Tanzania.
Hiyo no 4. Si kushuka tu kwa ukawaida wakati locomotive ipo katika operation endapo huyo dereva hatoshika kitu chochote kwa dakika 1 huwa kuna mfumo unaitwa vigilance unahakikisha usalama.
Sasa usipofanya lolote kwa muda huo ina light indicator kwa 60sec - 77sec kama hutareset button itapiga...
Kivipi Gunner? Unaweza ukawa sahihi ila pia usiwe sahihi kwasababu sina haja ya kufuatilia mtu ambaye tayari ana maamuzi ya maisha yake nini afanye nini asifanye kipi ni sahihi na kipi si sahihi.
Nimewahi kuwa na mauhusiano mara kadhaa kabla ya kuoa ila sijawahi kabisa kuumizwa na mapenzi...
Kiukweli kabisa somo ambalo nimefeli kwenye maisha yangu ni kumfuatilia mwanamke kiwango ambacho kutaka kujua mienendo yake kama kweli hataki na haitakuwa ila akiamua fanya ufanyavyo itakuwa tu.
Mzee wa kazi kwa unavyotaka utachelewa sana field sisi tulikuwa tunajiongeza siyo kila kitu hadi uambiwe tukajikuta tunajua welding, kusuka hadi mota kitu ambacho ilikuwa ni taaluma ya electricians na kufanya soldering kabisaa.
Haya mambo haya imenikumbusha mbali sanaaa kuna siku moja marehemu Meja Jenereli Mbuge alipanda kutoka Brigedia jenerali hadi kuja hapo Meja Jenereli kuna watu walijiuliza hivyo hahaha.. Utapata tu tatizo liko wapi? Kumbe hii hamsumbui gunners pekee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.