Recent content by Litombo

  1. Litombo

    Dollar ya Marekani inashika nafasi ya tisa kwa thamani duniani

    Shilling yetu ni ya ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Litombo

    Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

    Rubondo island
  3. Litombo

    Ngurumo adai ndege ATCL zimenunuliwa kifisadi na kuendeshwa kifisadi

    Ile issue ya moshi kumzingira mkuu huenda ilikuwa mission ya deep state so as ro robe the criticiser, bila kujua wakosoaji wakaingia kichwa kichwa bila kufahamu kuwa ni mtego tu, kigogo 2014, zitto, Lema, ngurumo nadhani ambaye sikunuona ni Chahali Evarist
  4. Litombo

    Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

    Umesoma shule gani ya nursery ? Maana Si kwa pumba hizo!
  5. Litombo

    Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Kuugua kwa mwanadamu ni kawaida, kwani kuwa raisi haina maana huwezi pata maradhi, acheni ushamba wenu, Live long mr president .
  6. Litombo

    CCM ina wanachama Milioni 15, wakijiandikisha wao tu inatosha, tusilazimishane kujiandikisha

    Umewezaje kujua idadi ya wana CCM kabla hawajiandikisha? Au unatumia data gani kubaini idadi ya wanaCCM?
  7. Litombo

    Ameonekana akiwa na aibu kwa ubaya wake wa gizani

    Kumuita raisi mshamba si tusi? Mwambie baba yako hivyo tuone
  8. Litombo

    Tetesi za Ebola: Serikali ya Tanzania inafanya mzaha kwenye jambo la hatari

    Bajeti finyu, tumemlipa mzungu mkulima wa kwa madiba
  9. Litombo

    Askofu Steven Munga: Tulia Ackson ameizika CHADEMA mazishi ya Kikristo

    Siasa za karne hii ni za kishamba mno,never ever
  10. Litombo

    Yericko Nyerere ashinda Uchaguzi ujumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kuiwakilisha Kigamboni

    Yericko nyerere ni undercover wa CCM sikuamini na sijawahi kukuamini
  11. Litombo

    Rais Magufuli alianzia pale...

    Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua. Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji, Tiss wapo misikitini...
  12. Litombo

    Ukumbi wa Arnautoglo safari ndefu ya Mwalimu Nyerere ilipoanzia

    Yamefichwa, badala yake tunasoma history ya kijinga jinga tu zinjathropuz na homohabilis
Back
Top Bottom