Recent content by lisulile

  1. lisulile

    JamiiForums Tanzania TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Mazoezi ili kuuweka mwili mbali na mashambulizi au kuufanya mwili kuwa na nguvu,, maana matumizi ya dawa kwa wingi pia huufanya mwili kuwa na sumu mwilini
  2. lisulile

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Inaniuma sana! Polisi wote ambao ni ndugu zangu, achaneni nami sihitaji kuwa na ndugu wajinga kama nyie, mnaua utadhania hamkuzaliwa?
  3. lisulile

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    hii ndio tz,, kukiwa na jambo la kutingisha amani ya nchi linaibuka jingine hapo huwezi ona gobole wala bomu la machozi hii ni kujikosha! Siri~kale ina mbinu za kichawi hii
  4. lisulile

    JamiiForums Tanzania Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

    Usiamini sana ktk hilo, tena usithubutu kurudiana na demu huyo,, upole wa jamaa ni kwa demu tu akijua demu alikuwa wako mkaachana halafu kuna dalili za kurudiana ndipo utaona jamaa alivyo kidume
  5. lisulile

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mkuranga akataliwa na madiwani, Kikao chavunjika mbele ya Naibu Waziri

    wameinama wameinuka wanaona haya haoooo! watashikana uchawi tu
  6. lisulile

    JamiiForums Tanzania FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    sheria ya muuaji kuuwawa kwanini isiapply katika matukio kama haya? bado tunawakumbatia wauaji! hadi lini?
  7. lisulile

    JamiiForums Tanzania FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    hakuna lolote ovu litendekalo chini ya jua,,,! kwanini walianza kuupotosha umma? dhambi hii itaendelea kuwaumbua... wamezoea kutudanganya! pale kila kitu kilikuwa wazi hata kuunda kamati au tume ni ubatili tupu! matumizi mabaya ya pesa ya umma
  8. lisulile

    JamiiForums Tanzania FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    sasa walikuwa wanazunguka zunguka na nini hali ukweli ulionekana live!
Back
Top Bottom