Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

Usiamini sana ktk hilo, tena usithubutu kurudiana na demu huyo,, upole wa jamaa ni kwa demu tu akijua demu alikuwa wako mkaachana halafu kuna dalili za kurudiana ndipo utaona jamaa alivyo kidume
 
Usiamini sana ktk hilo, tena usithubutu kurudiana na demu huyo,, upole wa jamaa ni kwa demu tu akijua demu alikuwa wako mkaachana halafu kuna dalili za kurudiana ndipo utaona jamaa alivyo kidume

That's true but haibadilishi ukweli kwamba ukiwa mpole demu anaboreka na wengi wao hawapendi wanaume wapole according to my experience. Nilikuwa na demu wangu tuliyedumu naye muda mrefu ila tukaja kuachana, hatuwezi kurudiana ila huwa tunawasiliana kwa simu na huwa ananiambia jamaa yake wa sasa hivi anamBoa simply because anafanya kila kitu anachoambiwa na huyu demu. Hamsumbui kama mimi nilivyokuwa namsumbua. Ndo maana mimi huwa nawasumbua na wananipenda kichizi na ninao wengi hadi nawapunguza.
 
Huyo demu atakuwa ni Mkurya lazima,hawa si ndo wale hajapigwa anaona hajapendwa?
 
Wanawake hawana jema. Wakiburuzwa shida, wakionewa huruma wanatuona wajinga.
 
Nashindwa kuwaelewa wanawake. Wakiburuzwa shida, wakionewa huruma wanatuona wajinga.
 
Ndo maana wazungu wanaseemaa...

..''BIRDS WITH SAME FEATHERS FLOCK TOGETHER"

Hao wote wamepotezana njia..
 
...mwanaume ukiwa f.a.l.a ni shida,tambua hilo!!kuwa mpole nitabia ila kikileta upuuzi unamlamba mitama
 
Yupo mdada fulani ambaye alikuwa demu wangu before. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu ilibidi tuachane pale alipopata mwanaume mwingine, lakini tukabaki marafiki na watu wa karibu sana. Huyu mdada amekuwa akinipa stori nyingi sana kuhusu huyu jamaa 'handsome'. Demu anasema ingawa jamaa ni mzuri, ana heshima, ana hela kiasi chake (mdada hasumbuki mambo madogo madogo na ada), na anamridhisha kiasi fulani kitandani, still anamwona kama sio mwanaume aliyekamilika. Kisa ni kwamba huyu jamaa ni mpole sana, kiasi kwa pamoja na kuwa na uwezo mdogo wa kuargue na watu mtaani, lakini pia huyu mdada anamkoromea mara kwa mara.
Mara kadhaa huyu mdada anakuwa amemkosea jamaa (including kumcheat), lakini jamaa akitaka kumaind, mdada anakuja juu jamaa ananywea!!! Huyu mdada anasema hajisikii furaha sana kuwa na mtu kama huyu, kwani anahisi baadae wakioana hatajisikia kuwa na 'mwanaume' ndani!!!
huwa namwuliza kama anataka huyo jamaa yake awe anamchapa vibao, mdada anasema hapana, but anataka awe na uwezo wa kumkoromea, kuwa na msimamo na kumuamrisha, pale wanapotofautiana, au anapotofautiana na watu wengine barabarani, anapenda aone mwanaume wake anaonyesha kaubabe fulani!!!

Wanawake bana... tukiwa wakali shida, tukiwa wapole shida!!!
Mhhh! hii ya moto, ngoja nipulize
 
Kivipi basi wachague ukali au upole lakini mapenzi hayana kanuni malum kama hesabu ambayo 1+1 sawsaw2 haya kama vipi mulizeni bi chau

nite
nayanda
 
Back
Top Bottom