Napenda kuchukua nafasi hii kutoa dukuduku Langu hapa jukwaa letu pendwa.Mimi ni msafiri wa ndani na nje ya nchi yetu, nimekuwa nikisafiri na mabasi kutokoa Dar kuelekea mikoa tofauti nchini Tz kinachonisikitisha ni ubovu wa vyoo vinavyohudumia wasafiri na hata raia wa hapo wanaotafuta...
Nilishangaa sana kuona waliokuwa wasikilizaji hawakupiga makofi kuungana nae.Kiukweli huenda ikawa hiyo ni njia ya kumfikisha pale pa aongezewe muda wabunge wa nyinyiem utasikia ndiyooooo.
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania...
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania...
Ni kweli mkuu haki hupandisha umaalifu wa mtu,kama kuna shida mahali usitegemee umaalufu utapanda Bali utashuka kulingana na minunguniko ya watu.kila kona ya nchi malalamiko ni makubwa, ni wachache tu wanaona sema tunaelekea njia nzuri,katika hao ni wale hawakuwa kuajiliwa wala kuonja utamu wa...
Hakika atukuzwe aliye juu ya yote maana bila yeye yote yasingekuwepo,napenda kusema tu kuwa hakuna siasa bila uwepo wa dini hivi vyote waumi ni wale wale wanasiasa na wana dini,naungana na mwandishi wa andiko hili kwani katufungua macho wengi.
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na wawakilishi wengi wa upande wa upinzani hata Tanzania hayo yangefanyika kama wabunge wa upinzani wangekuwa wengi.Maana Raisi asingefanya hayo kwa kujiamini.
Namkumbuka huyo officer wa polisi alipata cheo baada ya kupambana na majambazi ubungo waliokuwa wameiba pesa,ndiyo jeshi likampandisha kutoka underground hadi kuwa mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.