2019 mwaka mpya na mambo mapya!! Usiwaamini CHADEMA, piga chini!!

Jemmie

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
216
Reaction score
285
Ktk vitu ambavyo si vya kuendelea kushika/kuvikumbatia Kama ulikuwa hivyo mwaka Jana 2018 ni pamoja na Chadema!-
Kama uliukumbatia wizi, ufisadi, rushwa, uvivu, ufuska hakikisha Mwaka huu unaachana na majanga hayo. Lkn kubwa zaidi

Kama Mwaka wa 2018 uliukumbatia uchadema na Chadema yenyewe hakikisha January hii, ndio mwisho ,Ili usiingie 2019 vilivyo ukiwa na janga hilo kwa maslahi ya Taifa.

Kwanini Chadema ni janga na inaingia ktk kundi la majanga ya kutokumbatiwa mwaka huu wa 2019?:-
Majibu..

-Chadema tofauti na jina lake imeshindwa kuilinda Demokrasia ya kweli ndani yake,tunamshuhudia Mwenyekiti Mfalme akisalia kitini kwa miongo kadhaa kinyume na katiba Yao.

-Chadema imeshindwa kujijengea yenyewe msingi wa maendeleo, achana na maendeleo ya umma, ya kwao wenyewe wameshindwa, tofauti na wanavyojinasibu ni Chama cha demokrasia na maendeleo , maendeleo gani hadi Leo miaka 25 na zaidi toka kuasisiwa kwake na ruzuku nzito wapatayo toka Serikalini lkn chadema imeshindwa kumiliki Ata kajengo ka vyumba vitatu kwa majina yake!!?

-Chadema ni janga kwa kujidhihilisha kuwa wanatumika na mabepari wenye nia ovu dhidi ya Taifa letu na Afrika kwa ujumla.

-Chadema ni janga la kutupa tunapouanza mwaka huu wa 2019 kwa kujidhihirisha kuwa ni wapinga maendeleo ya Taifa letu.

Bado unaukumbatia Uchadema na chadema? Panua akili,, huu ni mwaka mpya, list ya majanga,tuliitupilia mbali Dec ,2018. Huu ni mwaka wa Free from majaruba na majanga Chadema.
 
tenor-4.gif

Nyuzi nyingine bana kichefuchefu
 
Ktk vitu ambavyo si vya kuendelea kushika/kuvikumbatia Kama ulikuwa hivyo mwaka Jana 2018 ni pamoja na Chadema!-
Kama uliukumbatia wizi, ufisadi, rushwa, uvivu, ufuska hakikisha Mwaka huu unaachana na majanga hayo. Lkn kubwa zaidi Kama Mwaka wa 2018 uliukumbatia uchadema na Chadema yenyewe hakikisha January hii, ndio mwisho ,Ili usiingie 2019 vilivyo ukiwa na janga hilo kwa maslahi ya Taifa.

Watu wengine posho mnapewa bila kazi, yaani hapa napo unalipwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
isome upya thread yako
 
Ktk vitu ambavyo si vya kuendelea kushika/kuvikumbatia Kama ulikuwa hivyo mwaka Jana 2018 ni pamoja na Chadema!-
Kama uliukumbatia wizi, ufisadi, rushwa, uvivu, ufuska hakikisha Mwaka huu unaachana na majanga hayo. Lkn kubwa zaidi

Kama Mwaka wa 2018 uliukumbatia uchadema na Chadema yenyewe hakikisha January hii, ndio mwisho ,Ili usiingie 2019 vilivyo ukiwa na janga hilo kwa maslahi ya Taifa.

Kwanini Chadema ni janga na inaingia ktk kundi la majanga ya kutokumbatiwa mwaka huu wa 2019?:-
Majibu..

-Chadema tofauti na jina lake imeshindwa kuilinda Demokrasia ya kweli ndani yake,tunamshuhudia Mwenyekiti Mfalme akisalia kitini kwa miongo kadhaa kinyume na katiba Yao.

-Chadema imeshindwa kujijengea yenyewe msingi wa maendeleo, achana na maendeleo ya umma, ya kwao wenyewe wameshindwa, tofauti na wanavyojinasibu ni Chama cha demokrasia na maendeleo , maendeleo gani hadi Leo miaka 25 na zaidi toka kuasisiwa kwake na ruzuku nzito wapatayo toka Serikalini lkn chadema imeshindwa kumiliki Ata kajengo ka vyumba vitatu kwa majina yake!!?

-Chadema ni janga kwa kujidhihilisha kuwa wanatumika na mabepari wenye nia ovu dhidi ya Taifa letu na Afrika kwa ujumla.

-Chadema ni janga la kutupa tunapouanza mwaka huu wa 2019 kwa kujidhihirisha kuwa ni wapinga maendeleo ya Taifa letu.

Bado unaukumbatia Uchadema na chadema? Panua akili,, huu ni mwaka mpya, list ya majanga,tuliitupilia mbali Dec ,2018. Huu ni mwaka wa Free from majaruba na majanga Chadema.

Japo umeikataa CHadema haujaweka sababu za Msingi. Umejaza porojo za kisiasa. Ambazo wananchi wa Vijijini wala hawana habari nazo.
Ufisadi, Rushwa, Wizi sijui kitu gani...
Haya mambo msingi wake ni CCM. Chadema ni watazamaji tu.

Sababu Kuu na za Msingi ni Kua:-

- Ukiwa chadema unakua Raia daraja la 3.
- unaweza kufilisiwa Mali zako.
- unaweza kupotezwa.
- unaweza kwenda Jela kwasababu yeyote hata ndogo kiasi gani.
- Hakuna Posho wala marupurupu. Maisha ya kule ni kujitoa sadaka bila matumaini yeyote.
- ukiwa Chadema umechagua kua Adui Mkuu wa Serikali na utendaji kazi wake.

- Unaweza kosa wa kukudhamini mahakamani.

Maisha ya kunyanyasika katika nchi yako mwenyewe ya kazi gani. Fu.ck politics

Ova.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk vitu ambavyo si vya kuendelea kushika/kuvikumbatia Kama ulikuwa hivyo mwaka Jana 2018 ni pamoja na Chadema!-
Kama uliukumbatia wizi, ufisadi, rushwa, uvivu, ufuska hakikisha Mwaka huu unaachana na majanga hayo. Lkn kubwa zaidi

Kama Mwaka wa 2018 uliukumbatia uchadema na Chadema yenyewe hakikisha January hii, ndio mwisho ,Ili usiingie 2019 vilivyo ukiwa na janga hilo kwa maslahi ya Taifa.

Kwanini Chadema ni janga na inaingia ktk kundi la majanga ya kutokumbatiwa mwaka huu wa 2019?:-
Majibu..

-Chadema tofauti na jina lake imeshindwa kuilinda Demokrasia ya kweli ndani yake,tunamshuhudia Mwenyekiti Mfalme akisalia kitini kwa miongo kadhaa kinyume na katiba Yao.

-Chadema imeshindwa kujijengea yenyewe msingi wa maendeleo, achana na maendeleo ya umma, ya kwao wenyewe wameshindwa, tofauti na wanavyojinasibu ni Chama cha demokrasia na maendeleo , maendeleo gani hadi Leo miaka 25 na zaidi toka kuasisiwa kwake na ruzuku nzito wapatayo toka Serikalini lkn chadema imeshindwa kumiliki Ata kajengo ka vyumba vitatu kwa majina yake!!?

-Chadema ni janga kwa kujidhihilisha kuwa wanatumika na mabepari wenye nia ovu dhidi ya Taifa letu na Afrika kwa ujumla.

-Chadema ni janga la kutupa tunapouanza mwaka huu wa 2019 kwa kujidhihirisha kuwa ni wapinga maendeleo ya Taifa letu.

Bado unaukumbatia Uchadema na chadema? Panua akili,, huu ni mwaka mpya, list ya majanga,tuliitupilia mbali Dec ,2018. Huu ni mwaka wa Free from majaruba na majanga Chadema.
Ntawaamin daimaaa

Naona uko kazini....ID MPYA[emoji16]
Screenshot_20190103-171423.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom