Kwani kikwete alivyokuwa akijinadi kwa "Mamilioni ya kikwete" hizo pesa katoa kwenye mifuko yake?
Tuache maswali ambayo hayana msingi., hii ni kumaanisha hata yeye na baba yake woote wakiwa madarakani wameshindwa kulijali jimbo lao kwa vifaa vya msingi kama hivo.
Yeyote anayemlaumu Raisi kwa uteuzi wake wa Makonda atakuwa hamtendeu haki kwani kikubwa ni resource aliyonayo ndani ya ccm.
Inawezekana huyo makonda akawa ndiyo nafuu kwa ubora na uwezo ndio maana akamteuwa.
Tumwachie Mungu tuone yajayoo
Kwenye hili sins shaka serikali inaenda kuaibika, ni bora watulie kwani MTU hawezi kusema bila kuwa na ushahidi. Isitoshe, Suala LA ushahidi mkumbuke source Mara nyingi huwa nyingi ikiwemo ofisi husika. Isije na lenyewe likawa jipu oooooohooooooo!
Baada ya usitishwaji wa michango elekezi kwa wazazi wa watoto shule na msingi na sekondari, kumekuwa na lalamiko kuu la kwa shule nyingi zinashindwa kujimudu hasa katika kuwaandalia watoto chakula cha mchana mashuleni.
Kwa mtazamo wangu sioni haja ya kuwepo kwa mchango huo wa chakula kwani...
Iko haja ya Wakuu wa shule kurudisha miradi kama vile ile ya EK yaani Elimu ya Kujitegemea. Hii inaweza ikawaongezea kipato cha shule ikiwa ni pamoja na kuipunguzia serikali mzigo wa gharama za uendeshaji.
Mugabe amesema alichoambiwa na hakuwa na sababu ya kukinyamazia wakati muda umefika. Tazama, Mugabe ni mzee msema kweli kwenye hili yeye hana la kupoteza.
Magufuli anatenda kazi yake pasipo kufuata Ilani Ya ccm. Hivyo nawaomba wanasiasa mkae pembeni Hakuna Ujomba WA urafiki WA kinafiki Ktk utendaji WA Hii team Mpya. Mliozoea mteremko Kwa Mkwere ntakiona safari Hii.
Kwa tathmini Fupi tu Jeshi LA watu Wanne (Raisi, Waziri mkuu, spika na makamu WA raisi) linatosha. Hili Jeshi limeonyesha uwezo mkubwa Kwa Kipindi hiki kifupi Kwa kuweza kufukunyua Madudu yaliyolindwa na team Kubwa Ya Utawala uliopita.
Kwa Haya machache napenda kutoa Maoni yangu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.