Recent content by Lipijema

  1. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Unaweza kuta mwili wa polepole au recho dagwa.
  2. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Je, atajiuzulu kama wanavyotaka?

    Ukweli ni huo namba moja na mbili wote wajiuzuru ili tuanze upya.
  3. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, ona ulivyo chafua Tanzania kimataifa

    Atalaaniwa milele. Hametuingiza kwenye shida kubwa.
  4. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    Niguse ninuke! Hii serikali ni shida.
  5. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Hauko peke yako, ukweli ndiyo huo: Chadema ndiyo chama pekee kinachoweza kutimiza ndoto za watanzania.
  6. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Nchimbi anasikilizwa kuliko Mama Rojo

    Mimi huwa najiuliza yeye na truph ni nani anamzidi mwenziwe kwa akili?
  7. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Ccm ni wapumbavu sana wamejaa humu jf kwa kumwalibia mh:J. Heche kila uchao. Watanganyika tupo naye bega kwa bega.
  8. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Mbona ghafla matamko dhidi ya Heche yamekuwa mengi?

    Heche ni jembe, amewapelekea moto ma ccm hadi wanachanganyikiwa, walimkusudia kumuua badala yake wakamuua dereva wake. Mapambano yaendelee.
  9. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Heche ni mtu safi sana, kuna mbinu chafu za ccm ambazo zinafanywa ili kumdhoofisha Mh: Heche na humo jf mmelipwa wewe, Mwamshamba na wengineo wengi tu, ili kuchonganisha, mtashindwa ninyi na huyo shetani wenu mkuu samia.
  10. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    Mtoa mada mshamba, sisi watanganyika tunaipenda CHADEMA Kwa mioyo yetu ya dhati, nyinyi kinachowauma ni nini? Samia na kundi lake ndiyo wanakula kodi zetu. Mimi naendelea kuwachangia CHADEMA kwa chochote nilichonacho ili tuitoe hii serikali haramu ya dikteta samia. Tunafahamu mnalipwa ili kuiua...
  11. Lipijema

    JamiiForums Tanzania Makamo mwenyekiti Mh: J. Heche na wanaopenda haki.

    Nakutakia nguvu, hekima na uvumilivu katika majukumu yako ya uongozi. Endelea kusimamia unachoamini kwa kufuata sheria, sheria maadili maslai ya wananchi kutetea haki na kuhimiza uwajibikaji. Usikate tamaa unapokutana na changamoto. Kila hatua ya mapambano inaitaji ushujaa, busara na kujitolea...
Back
Top Bottom