Recent content by Liphany

  1. Liphany

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Hajashinda category ya msanii bora, ameshinda best African act. Be careful siku nyengine
  2. Liphany

    JamiiForums Tanzania Economics books special thread: vitabu, majarida, uchambuzi

    Econometrics ni physics iliyoamua kujificha kwenye mwamvuli wa economics....yale madude ya dummy variables nani anayataka sasa😅😅
  3. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

    Huyo simba mwenye wachezaji wabovu na wasiojua kupiga pasi, ndio hao wanaoongoza kwa kupiga pasi nyingi katika ligi na ni wao pia waliocheza mechi chache zaidi lakini pia ni timu pekee haijapoteza mchezo ligi kuu na haina drooo. Usijudge kishabiki embu jaji mpira kwa haki
  4. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Acha kukata tamaa, wengine tupo tangu mwezi wa nne na hatukati tamaaa
  5. Liphany

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Wiki iliopita nimesafir na v8 LC200 asee kiukweli sioni utofauti na crown kwenye swala la comfort inshort...niliinjoy sana safari za crown kuliko LC 200
  6. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Still inagoma
  7. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera mpendwa, naomba pdf ya leo tafadhari maana website naona haifunguki
  8. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana, kapige kazi tunakombea heri
  9. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni wote mliopata bahati ya kuingia kwenye government payrol, Mungu akawaongoze kwenye kila hatua na pia tuzidi kuombeana hata sisi wengine angalau mambo yatunyookee mtaani hakufai huku
  10. Liphany

    JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Nchi ya Israel ilikuwepo ndugu, kilichofanyika 1948 ilikuwa ni makubaliano ya kugawana ardhi kati ya palestina na Israel
  11. Liphany

    JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    First of all unapaswa kurudi nyuma kabisa kwenye biblia, kitabu kilichoelezea vizuri zaidi kuhusu historia hii. Abraham/Ibrahim anatambulika kama ndie baba wa taifa la Israel maana yeye ndie baba wa Ishmael na Isaka ambaye kupitia yeye walizaliwa watoto kumi na wawili na hayo ndio makabila kumi...
  12. Liphany

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana Mheshimiwa, ukawe mtumishi mwema sana huko ulikopangiwa
  13. Liphany

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Kirauni ni noma sana mzee wangu, hivi kwa 22m naweza kupata g package
  14. Liphany

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kwa hiyo kati ya hizo tatu zilizobaki ni ipi itanifaa?
  15. Liphany

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kwa nini bro
Back
Top Bottom