Recent content by Liobite

  1. Liobite

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Vipi mazao ya bustani huwa munalima na soko lipo?
  2. Liobite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

    😂😂😂
  3. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Hiyo miracle thunder Box inapatikana online
  4. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Asante Mkuu nitajaribu
  5. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Ok sawa,
  6. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Sio smartphone, ni "keypad phone" ya kawaida tu.
  7. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Sio Android mkuu, ni "keypad phone" ya kawaida.
  8. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Nilisoma, lakini nimesahau password
  9. Liobite

    JamiiForums Tanzania Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

    Natumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash. Inawezeka?
  10. Liobite

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

    Nenda kwa Soft utapata hiyo Copy
  11. Liobite

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ukipata Sehemu hiyo nishtue MKUU
  12. Liobite

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Karibu Email: liobitemuhidini@gmail.com Or Njoo Pm Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Liobite

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ruvuma mnada wa kwanza bei ilikuwa Tsh. 2338-2280 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Liobite

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habarini, Mwenye kuhitaji Ufuta kununua kiasi chochote kuanzia tani na kuendelea unapatikana. Na kama unahitaji mtu wa kufanya naye kazi ya kununua ufuta unaweza kuwasiliana na Mimi. Maana msimu wa ufuta umekaribia sana na Vyama vya ushirika vitaanza kukusanya ufuta tarehe 23/05/2020...
  15. Liobite

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    Naomba kuuliza wakuu, Barua za maombi zinaandikwa kwa lugha gani?. Kiswahili au kiingerza? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom