Za asubuhi wakuu, Kama Mada isemavyo, nauza ASALI mbichi ambayo haijachakachuliwa hata kidogo, baada ya kurudi kutoka kwa madiba aka bondeni wakuu Nilikuwa Sina Dili hapa mjini, baada ya kuwaza na kuwazua nikaona nije na wazo la biashara ya ASALI, likawa wazo na sasa ni biashara kamili...