Asilimia zaid ya 90 ya wafanyabiashara achia tu elimu ya kodi hii elimu ya kawaida hawana,ss wao wana majibu tayar juu ya suala la kodi ss ni vgmu kumueleimisha mtu ambaye ana majibu tayar
$fanyabiashara. Mkubwa tu kariakoo hajui maana ya cooperate tax na hana hata documemt za import duty ya...
mdogo wangu usijal field utafanya hata sekondari mm nimesoma hapo Bed Guco watu km wa ww tulifanya nao field shuleni we muhimu ni kuwa makini umsikilize vizuri madam Pembe.
Ndugu zangu
Km zzk na kitila mkumbo hawana hatia nan wa kuondoka chadema, kiukweli Dr kitila na zitto kwa ueledi wao wameeleza kutokuwa na hatia na kutaka vilelelezo km wana hatia hyo nio credit ya juu kwao na amin kabsa huo si mwisho wa zitto kijana mkongwe chadema km mtu wa kuonewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.