Mkuu wa mkoa atakuwa na shida ya kifikra sio bure. Nilishangaa alivyokuwa amepanic na tuhuma kibao kwa mfanyabiashara. Wakikutana mahakamani kuu wa mkoa sijui atajificha wapi.
so ndo umekuja kuhamasisha uchepukaji na uzinzi wako huku jf? Mungu anakuona - unavyoongea unaoneka wewe ndo chanzo cha matatizo maana sio kwa furaha iyo km umetiwa ndimu!!!
Kama wameambiwa na chombo husika kuwa chanzo ni barabara bovu poa ila km wameriport bila udhibitisho ni lack of professionalism na serikali inaweza kufata hatua kulalamika. Tunapenda wariport habari lakini ni wajibu wao kubalance taarifa na kupunguza bias japo tunajua sio kazi nyepesi hasa...
Tuwahifadhi watoto wetu na tuziombee familia zilizofikwa moja kwa moja na hili janga. Pia tuweke utaratibu wa kuangalia usalama wa watu barabarani na kuweka taadhari kwenye maeneo yenye shida, wahusika wa barabara wapitie maeneo ya barabara zetu mara kwa mara ili kuangalia maeneo yenye matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.