Tukiachana na viongozi wa kitaifa..je ni raia wangapi wakifa hutangazwa msiba wa Kitaifa.?

Waafrika Tucvyopenda Kufanya Kazi, Mapumzko Kivipi? Wafiwa Wapo Kwenye Pilika Za Msiba, Viongozi Mbali Mbali Wapo Msiban Lkn Pia Wapo Kazin. Ss Ww Upo Kundi Gani? Kuna Kupumzika Kwenye Msiba? Kila M2 Kaguswa Na Huu Msiba, Hvyo Walio Kwenda Wametuwakilisha Maana Hatuwez Kwenda TZ Nzima, Tuliopo Sehemu Zetu Tuendelee Kufanya Kaz Kwan Ndo Uchumi Wa Taifa. Ss Wkt Dala Dala, Hosiptali, Polisi Nk Wanafanya Kaz, Kwann Cc Tupumzke?
 
Mkuu ni ajali nyingi zimetokea hapo katikati bara na visiwani....lakini ninayoikumbuka ni ile ya Majinja pale Mafinga iliua zaidi ya watu 50....
Kuna Tawaqal(kama sijakosea) pia iliwahi kuua watu wengi sana maeneo ya Ilula miaka ya 2000
 
Sidhani kama siku za maombolezo lazima watu wasiende kazini. Naamini kunakuwa na urushaji wa bendera nusu (I stand to be corrected). Kumbukumbu yangu ya msiba wa EMS (Sokoine) na (JKN) Nyerere tulikuwa na siku za kuomboleza ambazo hazikuwa public holidays. Kwani hao viongozi wakuu wameongoza misiba mingapi, je ilikuwa ya kitaifa?

umesema kweli sio lazma iwe siku ya mapumziko
 
Tuwahifadhi watoto wetu na tuziombee familia zilizofikwa moja kwa moja na hili janga. Pia tuweke utaratibu wa kuangalia usalama wa watu barabarani na kuweka taadhari kwenye maeneo yenye shida, wahusika wa barabara wapitie maeneo ya barabara zetu mara kwa mara ili kuangalia maeneo yenye matatizo hasa kipindi hiki cha mvua. Barabara zimechimbika,madaraja yamemegwa na maji lakini hakuna taadhari yoyote hivyo usalama wetu kubaki mikononi mwa mungu peke yake pasipo vyombo husika kuchukua hatua. Hata sisi madereva tuwe macho na waangalifu tunapoendesha vyombo vya moto kwani usipojiumiza wewe unaweza kuumiza watumiaji wengine wa barabara. Mara nyingi sana unaona dreva amepakia watu anaendesha huku achora na speed za ajabu mpaka unajiuliza akikutana na sitofahamu huko mbele yake itakuwaje. Serikali na watu wake kwa pamoja tutambue umuhimu wa utu na tulinde utu kwani ukiondoka haurudi na unaacha maumivu na makovu yasiyopona haraka.
 
Yaani unataka tuamini kwamba Rais Magufuli alipokwenda kuhani msiba wa yule Mzee aliyekuwa anamshonea nguo za shule kule Chato tayari ulikuwa msiba wa kitaifa? Kuhudhuria kwa Kiongozi wa kitaifa pekee ndo sababu ya msiba kuwa wa kitaifa! Siamini!!!
Mkuu, sio kila kitu unabisha, Rais alipoenda kwenye huo msiba aliambatana na Waziri gani huko ? Sio kila kitu unaweka siasa, angali msiba wa Arusha Wizara na Viongozi wote husika walikuwepo. Aidha, Rais kwenda kwenye msiba wa fundi wake huko Chato, alienda kama rafiki. Kumbuka kuna tofauti baina ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli na Mhe. Rais John Pombe Joseph Magufuli.
 
Back
Top Bottom