Recent content by Lincolnboy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWE
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWESE
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Kaka ubarikiwe,kwa hongera kwa kupambana,mwenyez mungu akufanyie wepesi kwenye njia zako, Nataka kuuliza kwamba JE KILIMO CHA VITUNGUU MAJI HUKO WANALIMA????
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    SOMO ZURI SANA MKUU,UMETUMBUA MACHO KAKA, VIPI MIUNDOMBINU YA BARABARA MVUA ZIKINYESHA KIPINDI CHA USAFIRISHAJI WA MAZAO KWA WAFANYA BIASHARA KUTOA MASHAMBANI KUPELEKA SENTA?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    KAKA UDONGO WA SEHEMU ULIYOLIMIA WEWE NI UDONGO WA RANGI GANI,NA JE! NI MFINYANZI,TIFUTIFU AU KICHANGA
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    KAKA UDONGO WA SEHEMU ULIYOLIMIA WEWE NI UDONGO WA RANGI GANI,NA JE! NI MFINYANZI,TIFUTIFU AU KICHANGA?
  7. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    TATIZO HUJAFANYA UCHUNGUZI KWANZA HILO NDIO KOSA LAKO. UKWELI NI KWAMBA WAMASAI HUWA MTOTO AKIZALIWA NA ULEMAVU HUWA WANAMUUA...WANAIMANI KUA WAKIWA NA MTOTO MLEMAVU NI MIKOSI KATIKA FAMILIA/UKOO
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

    Hii ya sasaivi ni part 2, Part 1 aliitoa mwezi wa 3 ilikua tamu kinoma alafu ilikua ni ndefu na vipande vyake ni virefu
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

    Kaka weka ndefundefu Kama zile za part one
  10. L

    JamiiForums Tanzania DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    Dc na PUA yake
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Couple goals - tag couple(s) ambao unawa-admire sana JamiiForums na duniani kote

    ADAMU NA HAWA(ADAMU NA EVA)
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mnaopiga kelele tujenge viwanda ili vijana wapate ajira mnajua malipo ya waajiriwa viwandani?

    SIO VIWANDA VYOTE MKUU,MWAKA 2012 NIMEFANYA KAZI KIWANDA CHA PPTL TANGA NILIKUA NAOPARET MACHINE..kwa mwezi nilikua na range Kati ya laki 6 Hadi 7,haiko pamanent Mana unalipwa kutokana na mita ulizozalisha,Yani supavaiza hua anarekod kila siku umezalisha mita ngapi,kwaio sio VIWANDA vyote pia...
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee. wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi. Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

    WAARABU HAWANUNUI WACHEZAJI, WAARABU WANANUNUA WATUMWA,
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Mpo vizuri aisee na Bei zenu ni rafiki Sana,nimependa ,nitamitafuta mkuu
Back
Top Bottom