Recent content by limba salum

  1. limba salum

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Jiji kama Arusha au Mwanza
  2. limba salum

    2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Mmmh, ni mawazo finyu au mgando. Lakini asilaumiwe ndio upeo wa akili yake Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  3. limba salum

    Masogange akamatwa kwa tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya

    Hivi kwanini hawakutangazwa kama wengine?
  4. limba salum

    Kwa heri Manji Yanga, karibu GSM Yanga

    kama ni kweli basi poa
  5. limba salum

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Kila jambo lina wakati wake, kuhusu madawa ya kulevya acha serikali ifanye kazi yake.
  6. limba salum

    Nimemfuma wife akimpa mdogo wangu penzi la ajabu..

    Sahau tu, kwa kuwa ni mdogo wako. Ila kama angekuwa mtu ambae familia yake kuna magonjwa ya kutithi ingekuwa mbaya. Binafsi kama mdogo wangu anampa mimba mke wangu, hiyo ni damu yangu wala simchukii mdogo wangu, ila lazima nimuonye mke wangu.
  7. limba salum

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole ila usijali, kwani maisha si bado unaendelea kuishi? Basi yupo wa kuishi na wewe kwa sasa vumilia tu. Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
  8. limba salum

    Man Pacquiao ndani ya kanzu

    Kama ni kweli, basi mungu amjaalie. Alianza Ally, akaja Tyson, na sasa anakaribia Pacquiao.
  9. limba salum

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Hata Mimi na mkubali. Lowassa oyeeeeeee
Back
Top Bottom