Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu?
========
Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.
Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015...