Recent content by Lily Flower

  1. Lily Flower

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Gone too soon.. 😭 😭 😭 Rest in Peace.....
  2. Lily Flower

    Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

    Aisee scania :oops:
  3. Lily Flower

    Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

    Hivi PakaJimmy kaokolewa kweli Valentina updates please.
  4. Lily Flower

    Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

    Hahahaha baada ya kusikia muziki mororo.
  5. Lily Flower

    Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

    Mwee mwee dah basi sawa..
  6. Lily Flower

    Tanzia: Member mwenzetu Marejesho amefiwa na mdogo wake wa Kiume

    My sincere condolences to you marejesho and the entire family. RIP Dear brother...
  7. Lily Flower

    Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Kila la heri kwa atakae shinda...
  8. Lily Flower

    Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

    Dah long time sana, miss you all......... wapendwa.
  9. Lily Flower

    Kuahirishwa kwa Safari ya Mwanza......

    There is always next time, Mwanza wing msife moyo tunajipanga na tunamtanguliza Mungu atupe wepesi wa kila tulipangalo hakika tutafanikiwa, maana hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu.
  10. Lily Flower

    Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

    Nani kakuambia eboooo!
  11. Lily Flower

    Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

    Binafsi nilifurahi kukuona kwa mara nyingine tena, karibu Arachuga tena na tena na tena mpaka kileweke Madame B Tuonane tena Mwanza panapo majaliwa.
  12. Lily Flower

    Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

    Aiiii we nawe kisa cha kunichomesha mahindi mtoto wa mwenzio kumbe uko Dar, najutaaaa kukufahamu.
  13. Lily Flower

    Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

    Naona umeanza, leo tarehe ngapi vile? Michi u 2 Mwanyasi
Back
Top Bottom