Recent content by lilian mark

  1. lilian mark

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    mmmh ht sijaelewa mie
  2. lilian mark

    Naacha rasmi kusaidia wenye uhitaji

    endelea kuwasaidia mungu atakubariki
  3. lilian mark

    Msaada: Dada anatakiwa haraka sana!

    duh atafanyaje kaz n mtoto mdogo ivo si bado mzazi
  4. lilian mark

    JKT leo asubuhi tumepewa pass mpaka Jumanne

    wengine wagonjwa wa kudumu afu mnawaza doso
  5. lilian mark

    Enzi hizo: Kitabu cha kusoma kwa hatua

    kila kitu kinabadilika kutokana na wakati na mazingira tofautisha zaman na sasa kubadlka n mojawapo ya sifa ya fasihi ili kukidhi mahitaji y jamii
  6. lilian mark

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    the one who has ability to wipe ur tears is exactly da one who makes u to cry so akili kumkichwa au ule msemo wa zaman chunga shotiiii baba
  7. lilian mark

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    uzur dhana telezi kwako mzur kwa mwingne kawaidaaaa tu coz uzur wa mkakasi ndan kipande cha mti upoo n uzur wa mwanke kujiamin na tabia
  8. lilian mark

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    na hao wasichan waonadharau walimu ndo ile type ya wasichan wenye tamaa ya pesa n weny kupenda maisha ya starehe xo akiangalia kipato ch mwalim anaona km vile hakitatosheleza mfano kuna dada mmoja alimkataa mwl akamwambia sio wa hadhi yake but baada ya miaka kadhaa huyo mwl aljiendleza kimasomo...
  9. lilian mark

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    huo uzur unaozungumzia ww hasa ni upi as l know uzur ni dhana telezi coz unaweza ukamwona mzur kumbe mwenzio kamwona wa kawaiiida,! kwani uzur wa mkakasi ndani kipande cha mti,love iz emotion na cku zote uzur wa mwanke tabia na kujiamini upooo to get ur future wife material mwombe sana mungu...
  10. lilian mark

    JKT leo asubuhi tumepewa pass mpaka Jumanne

    msamehe bure baba huyo
  11. lilian mark

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    teaching iz proffesional ukivamia fani utaumia au km ulifata tu boom kwenye education but km ni ndan ya moyo burudan kabisa n kuvaa vizur ni dressing code mean code of ethics inayomtambulisha mwl anayejielewa
Back
Top Bottom