Recent content by Liky

  1. L

    PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Kwa wana-Mwanza tunakumbuka vizuri uchaguzi mkuu wa 2010. Kama sio nguvu ya watu kushinikiza matokeo yatangazwe, Wenje alikuwa ameshakubali kupokea mlungula kutoka kwa Lau Masha. Kwa hiyo sishangai Wenje kuhusika na tuhuma za rushwa namna hii.
  2. L

    PreGE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

    Na Tapeli mkuu Freeman amegombea Urais Mara ngapi? Huyo ndo analo jipya?
  3. L

    KERO Responded Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunaomba kutatuliwa changamoto ya matokeo tangu 2020 hatujapata vyeti

    Yani ndugu yangu kamaliza UDOM 2014 lakini alipata mchongo akaenda nje ya nchi kabla ya kuchukua cheti chake. Sasa leo anafatilia cheti anaambiwa kuwa ana deni. Cha ajabu receipt zote za malipo anazo na wala hakuwa na mkopo, ila wahasibu wanamkomalia alipe deni ndo apewe cheti. Udom ni chuo...
  4. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Ushuru wa saa mbili usiku ndo unaonishtua mkuu.
  5. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Hapana, wao wanadai wamepewa tender na Halmashauri ya Kinondoni.
  6. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Ndo wewe nini unaekula posho?
  7. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Mbezi beach jirani na Ramada Hotel. Jamaa kaja kudai ushuru saa mbili usiku.
  8. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Habari wadau. Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri. Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki. Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa...
  9. L

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Sqm 300 unapata hati?
  10. L

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Kimepimwa?
  11. L

    Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
  12. L

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Romance ndo hawana kabisa, kwa kifupi wanawake wengi wa Kichagga mapenzi hawajui.
  13. L

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Ni ukweli usiopingika kuwa wachagga wamejikita kwenye utafutaji na hata kuwajengea watoto wao na wajukuu uwezo wa kutafuta mali. Ila kwenye swala la kuoa uchagani simshauri mtu wa jamii nyingine, japo unaweza kubahatika kupata mwenye tabia njema. Wao kwa wao wanabaguana, utaskia Mmarangu hataki...
  14. L

    Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

    Kuna mchungaji aliwahi kusema, "ukitaka kumuoa binti, muone mama yake" Mara nyingi vile binti atakavyokuwa ni kutokana na kile anachokiona baina ya wazazi wake. Tukubali au tukatae, tabia za watoto wengi ni urithi kutoka kwa wazazi. Kama mama anaamini kwenye ushirikina, halafu ukaoa binti yake...
  15. L

    Familia nyingine ni za ajabu sana

    Hapa ninavyosoma hii thread yako, inaita simu ya baba mdogo. Yuko kwenye 50s hapo. Ila kila week lazima atapiga kuomba elfu kumi/ishirini. Bado ana nguvu kabisa za kufanya kazi, lakini naamini akili yake ameshaielekeza kwenye kuomba pesa ya kula. Niliwahi kumshauri walau aseme ni biashara...
Back
Top Bottom