Hawa jamaa inabidi wajipange maana wanachokifanya hakina uhalisia kabisa kama muda wa kuanza kutoa huduma ulikua bado mngekaa chini kwanza mboreshe huduma zenu kisha mje upya .. watu kuweka mnaweka bila shida ila kutoa sasa kila muda kuna tatizo la kiufundi hayo matatizo mnayo ninyi tu kila siku...
Kuna vitu vinafikirisha kidogo, malalamiko ya wengi yapo upande wa app, lakini hujazuiwa ku install hiyo web ikawa kama app inafanya vizuri zaidi kama unapata changamoto upande wa app. Kuna mdau anataka video call ya nini wakati tushasema lengo ni anonymously posting, AI ihusishwe ili i reveal...
Yaani kiongozi wachache sana wataelewa unachokisema .. kuna mdau aliwahi kusema kwamba kizazi fulani kina upungufu wa uelewa na akili kiujumla yaani uwezo wa kujieleza, kujenga hoja ni mweupe .. waza tu kwa sauti ndogo jinsi watu wanavyotumia AI kwa sasa makazini yaani hata kutumia akili ndogo...
Kwa nyongeza tu ukipoteza line ya kampuni X ni vyema ukaazima simu ya mtu mwenye mtandao X ili kutoa taarifa ya upotevu utaulizwa maswali yanayokuhusu wewe .. hakikisha unazuia huduma zote za kifedha ..
Kiongozi labda tu itokee ishu nyingine ila kwa tarehe hizo chance ya kushika ni kubwa mno .. anza maandalizi mapema tu. Kwa dalili nakuona tu kama hujapendezwa na hilo suala ila yote ni matokeo watoto wa style hiyo wana baraka zake itatokea utampenda .. sema wanawake bana wana mbinu nyingi sana...
Kiukweli gari kuna muda unaweza usione umuhimu wake ila kuna dhahama zikikukuta unaweza tamani hata gari ya milioni 3 mathalani;
1. una dharura ya kupeleka mtoto au mtu kituo cha afya (muda huo bolt nk huwa havionekani)
2. Mvua imekaza kila kona usafiri uko rehani
3. Umekaa kituo cha daladala...
Kuna sababu watu hawazisemi, wafanyabiashara wengi wana tabia ya kukatisha tamaa, wanashakushambulia mfano mtu akija na ombi la kushauriwa aina ya biashara wengi wao ni wakali .. ni wafanya biashara wachache watakao kushauri .. sababu za wao kufanya hivyo yawezekana ni kuogopa kuuza siri ya...
Unaweza uliza hospitali ya Mloganzila wamewahi kuwa na mashine ya kutoa tattoo sina uhakika kama inafanya kazi ila fuatilia huenda ikaanza kutumika kwako ili uwe na amani ya moyo ..
Waje kusema ukweli tu maana kuna picha picha wanazileta ambazo si rafiki, mwanzo walisema 13% hizi siku mbili 3 ukicheki app yao wameweka 11.42% kwamba taratibu wanashusha .. wawakusanye wee then warudi kama kwa wengine ..
Mara ya kwanza wakati ameingia kwenye jukwaa alikutana sana na upinzani, kebehi toka kwa wadau mbali mbali, lakini busara zake na ufuatiliaji kiukweli vimemfanya akubalike mno .. tunachomuombea tu asije kubadilika kama ilivyozoeleka ..
kwa kweli wamekitendea haki kipindi maana walikua wanagonga spana mpaka basi sina uhakika kama safari ijayo mwakilishi wa mamlaka ataenda kama alivyoenda leo..
Kiongozi umeniangusha aisee ingawa sishangai sana, IT wengi wanafanya vitu vya kawaida wanakata tamaa, tenga muda wako jifunze vitu kadhaa hasa computer programming chagua language mojawapo ya kuanza nayo inaweza kuwa python, php, javascript na zinginezo, mobile app jifunze java na zile zingine...
kwa wakazi walio jirani na viwanja (open space) vyema kutumia viwanja hivyo kufanya mazoezi, kwa wengine wa njia kuu na service road ni umakini zaidi unahitajika ila kuna swala moja huwa tunajisahau .. tunafanya mazoezi na headphones sauti iko juu mpaka usikivu na umakini unapotea tuwapo...
kwenye hizi subwoofer za pesa ndogo kuna kile kisauti kinaanza "Bluetooth is connected successfully", "line in" "fm mode" je inawezekana kikazuiwa kabisa yaani iwe kimya kimya pia ianze na sauti ndogo ..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.