Recent content by Lihove2

  1. L

    Natafuta Master Room Dar Es Salaam

    Bei hiyo kweli kwa maeneo hayo? sogea kule chamazi au kule pugu au gongo la mboto
  2. L

    CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

    Huu ni uzushi pia kama zushi nyingine.
  3. L

    CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

    Wewe una matatizo yako binafsi ya kutokufiatilia taarifa.mbona walisema kuwa kutakuwa nankufungwa kwa huduma mpaka jtatu.Ilibidi kujiongeza kufanya miamala kabla..na kwa taarifa yako maboresho yanaweza kukamilika jumatano.
  4. L

    Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Wanawasilisha siku ya maulidi?.si ni siku ofice zimefungwa au?
  5. L

    Trump Amfukuza Kazi Gavana wa Benki Kuu ya USA (Black) .Mwenyewe Agoma Kuondoka Ofisini Asema Trump hana Mamlaka

    Okay.Nadhani kuna cha kujifumza hapa.ukiwa na raisi mwehu halafu ana mamraka ya kufuta kazi kiongozi yoyote bila shida.basi siku mkipata raisi dhaifu uchumi umaweza kufa kwa maamuzi mabaya
  6. L

    Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

    Hiyo ilioko kule kama marudio vile
  7. L

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Mbona mawe kwa Rostam yanarushwa Kutoka katika kila corner. Duu kumbe ndivyo wahuni wanavyooperate
  8. L

    Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Ba Wewe unaonaje?yaani unauliza swali au? hiyo si ni nauli ya kwenda huko unakopata mshahara wa 3000?
  9. L

    Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Wenzako wanazungumzia dhahabu Geita wewe unaenda kulima maharage
  10. L

    Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Nadhani hili ni jibu.Yaani kuna mtandao mwingine pia mkubwa dhidi ya wahuni
  11. L

    Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    sawa.mbona kama ulitaka kuandika kitu ila bado unatoa utangulizi. Hebu anza sasa kuelezea huo ukengeufu
  12. L

    Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Hapa ni serikali ndiyo iliyoomba msaada kwa public kusupport transport na meals. Serikali yetu ilianza zamani sana kushindwa kuhudumia watu wake. Yaani ilishindwa kumlipia ndege na hela ya ugali kweli mpka ilibidi serikali itangaze kuomba msaada huo. a bit of a shame
Back
Top Bottom