Recent content by lihema

  1. L

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notice

    Tufafanulieni mi naona nyota nyota tu hapa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha maziwa kulala?

    Kwa nini ukiwa mdogo unakuwa na nywele nyeusi, umri ukienda zinakua nyeupe? Vitu vingine viko nje ya uwezo wako mkuu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake Tanzania wanaongoza kuchepuka?

    Acheni zenu, kumbuka idadi ya wanawake popote pale ni kubwa kuliko wanaume. Mkitaka idadi iwe sawa na wanawake ni sawa na kusema mtaa mzima wanaume wote wawe na VVU na wanawake nusu ndo wawe na VVU
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kila msichana ninaekutana naye ananiambia tayari ana mpenzi

    Michelle Naomba kuchangia namba tano. Hivi mtu ananuka jasho kama hajaoga siku tano mi namvumiliaje? Shati lake mwenyewe mpaka akumbushwe kunyoosha. Yani kiufupi hapo ni utanashati tu ndo unafanya mtu akose nafasi wakati mwingine.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Embu fanya kutoa sababu za kutaka mke wa pili kwanza
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tutoke kwenye huu uzi sasa inatosha. Mi wa mwisho
  7. L

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

    Umemfanyaje mpaka unajistukia
Back
Top Bottom